Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUNDI la WALIOFANANA !

>> Friday, February 04, 2011

.... labda WOTE tofauti!:-(


Swali:

  • Si unajua labda ukiona vitu au watu WANAFANANA labda ulikuwa unajaribu kufananisha na sio kutofautisha?

Ndio,...
....inategemea unaiangaliaje glasi yenye MKOJO nusu,...
... kwa kuwa kuna aionaye IMEJAA mkojo nusu na aionaye IMEPUNGUA mkojo nusu,...
... yote ni katika tu jinsi aangaliavyo kitu anatafuta mapungufu au UJAZO chanya.:-(


Nje kidogo ya nanihii:


....na KATIKA AKILI ZA WATU WAFANANISHAO kuna  mpaka walalamikiao  mpaka kuhusu sahihi ya Rais OBAMA kuwa ni matusi kwa kitu wanachofananisha na kuona  ni kuwa MHESHIMIWA Rais Obama anachora UUME  utemao  UTE  kishahawa ,...


.....na yote ikiwa katika tu KUFANANISHA  kwa WATU katika   mifanano kama uonavyo:



NI WAZO tu hili  na USINUNE BASI Mheshimiwa!:-(
CHEKA BASI  MHESHIMIWA halafu nahisi  unabonge la TABASAMU weye KWA MTU FULANI  hata kama hujui!:-(


Hebu JIMI Hendrix atuhamishe kutoka kwenye wazo hilo hapo juu mkweche kwa -HEY JOE



Au tu JIMI HENDRIX adinye tu na -FOXY LADY

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP