WAKATI natafuta wa KUMLAUMU mwingine ambaye sijamuona KIDUDE ila twajua ni MKOJOAJI,...
>> Monday, February 14, 2011
...kwa kuwa KUJILAUMU MWENYEWE hakunogi kama kulaumu MTU akojoaye MWINGINE.:-(
Na labda WEWE kama tu MIMI ni rahisi kwa kawaida KUKWEPA kwa lolote KUJILAUMU hata kwa baada ya kuwa si kosa lamtu mwingine ashiki ilipopanda na kusababisha UKOJOAJI,...
.... kwa kuwa bado ni rahisi katika yote yatushindayo MAISHANI kulaumu mtu MWINGINE.:-(
Na hata kama hapa hatuongelei wa MKOJO mkubwa ukojoaji,...
....labda bado NI KWELI labda karibu katika kila kitu ambacho ni rahisi KULAUMU mtu MWINGINE kunauwezekano kuna mchango mkubwa tu wetu katika HILOHILO JAMBO na labda ni mubwa kweli kuliko tufikiriacho moja ya sababu ya matatizo yetu ni mtu MWINGINE!:-(Swali:
- AU?
NI wazo tu hili MHESHIMIWA !:-(
Na nakutakia KAMANYOLA bila jasho leo MKUU!
Na moja kwa moja hebu SHAGGY arudie nguvu ya watu mwanana hata kijinsia katika-STRENGTH of a WOMAN
Halafu sijui kwanini labda hebu tu tena mdada TAMISHA Nicholls katika kutuwekea RIDHIMU ya siku arudie nguvu-BADDER dan DAT
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment