Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unaweza KUISHI maisha yako yote....

>> Monday, October 29, 2012

... ukiogopa waWATU,...
.... hata kwa kisingizio cha KUJIHESHIMU!


Swali:

 • AU?
 • Hivi unajiheshimu au UNAOGOPA watu?

Ndio,...
...kuna KUJIHESHIMU,...
... na kunakuogopa WATU watakufikiriaje,...
....ingawa labda WATU watakufikiria kivyaovyao tu kitofauti kutokana na tofauti zao,...
.... hata ufanyeje


Ni hilo tu!
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


 Hebu Aretha Franklin arudie- Respect

 

Read more...

Wakati YALILIWAYO LABDA hayako UCHI hivyo!

KUNA vililiwavyo kwa FURAHA lakini,...
.... WAZIWAZI aisee ,...
...hata kama ni KWA kikusengenya MAREHEMU msibani!:-(


Swali:
 • AU?
Na KULIA kunahitaji NGUVU ya kulia,...
... kwa hiyo labda aliaye,..
... huyo hata kishibe,...
... ananguvu,..
... hata kama kipindi hiyo,...
... Nguvu yake ni ya kulia tu ,...
... na hata kama mlio WENYEWE huo sio ule wa kusikilizia UTAMU.:-(Ni hilo tu!
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!Ni kweli NIPO...
Hebu BARON aongeleee...-Mother Earth is Crying

YEAH.......
...hebu King Masco arudie - Mao Mao


Read more...

Kama siri ni KUNYOLEWA mavuzi!

Mavuzi  ,...
.. ni siri itoshayo KIMAISHA aisee!


Swali :
 • AU?
Na kama siri ifichukayo ni ile ya mtu KIMAISHA,...
... kanyolewa MAVUZI,...
... labda MAVUZI tuongeleayo ni NYWELE!:-(

Swali:
 • Unaelewa?

Na KIMAISHA,...
.... nywelenywele ziko kila MAHALI,...
... na saaa nyingine ujanja ni kujua hata nywelenywele za KWAPA zina kazi gani KIMAISHA!:-(


Swali:
 • AU?

Ndio,...
.... MAVUZI ni NYWELE kama mahali NYWELEzilipo hata KIMAISHA,..
sio UCHINI!:-(


Swali:
 • AU?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!
 
 
 
JUMATATU NJEMA Mjanja!Hebu tu rudi HONDURAS ili NURU arudishe -Bunabou

Halafu hapa hapa HONDURAS hebu NURU aongezee-BounileTurudi TANZANIA ili NURU atulize kwa mpya ile-CHAPA LAPA
 

Read more...

Kwa MUNGU wa WAISLAMU na yule MUNGU wa WAKRISTO wa TANZANIA!

>> Wednesday, October 24, 2012

Nimatumaini yangu unadeku situesheni aisee!
Na MAPENZI yako YATIMIE,...
... hata kama inaelekea ,...
... hivi karibuni,...
...tutastukia wala hatukuhitaji UZAZI wa MPANGO,...
...kwa jinsi tutakavyo PUKUTISHANA kukutetea na MIGUVU yako!

Ni kamtazamo kangu tu,..
.. na kama nimekosea bado kiduchu ..:
 • Kusameheana bado imo?
 • Si unacheki CHUKI inavyojengeka kwa kisingizio cha WATU kujipendekeza kwako?Ni hilo tu na ni WAZO tu HILI!!:-(

Read more...

Subiria ANDAZI!

>> Monday, October 15, 2012

 Ila kumbuka tu ...
.....asubiriaye sana Maandazi,...
........ anaweza kirahisi kujikuta kaonja Kitumbua!:-(

Swali:

 • AU?Na katika kusubiria,...
...DAKIKA hugeuka SAA kimsikilizio!
Swali:

 • AU?


Subiria lakini,...
.... kwa kuwa ASUBIRIAYE wali,...
.... YASEMEKANA hata ubwabwa ambao haujaiva kwake unakuwa MTAMU sana tu!


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Nakutakia Jumatatu NJEMA NGULI!


Hebu Lionel Richie aingilie kati kwa- Stuck on YOU Kidum arudishe -Haturudi nyuma
 Stivu na Damiani walete tena historia kwa-Catch a FIRE


   
 Halafu sijui kwanini ...
 ....ila hebu tu Bob Marley azime tu...
....kwa kuweka orijino -SLAVE DRIVER


Ndio,...
........ NIPO!:-(
Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP