Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unaweza KUISHI maisha yako yote....

>> Monday, October 29, 2012

... ukiogopa waWATU,...
.... hata kwa kisingizio cha KUJIHESHIMU!


Swali:

  • AU?
  • Hivi unajiheshimu au UNAOGOPA watu?

Ndio,...
...kuna KUJIHESHIMU,...
... na kunakuogopa WATU watakufikiriaje,...
....ingawa labda WATU watakufikiria kivyaovyao tu kitofauti kutokana na tofauti zao,...
.... hata ufanyeje


Ni hilo tu!
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


 Hebu Aretha Franklin arudie- Respect

 

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:05 pm  

Kuogopa..mmmhhh!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP