Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umoja wa Afrika nishai!- Asema Gaddafi !

>> Thursday, June 28, 2007

Gaddafi kasema juzi kuwa jawabu ni kuwa na serikali moja ya Afrika.
Asema mtengano huu wa nchi za Afrika hausaidi hata nchi moja ya kiafrika.
Asema OAU na AU kwa miaka yote hii hajafanya kitu ambacho serikali moja ya Afrika inaweza kufanya.
Lakini.....
Hata hapo Afrika Mashariki, kuunganisha Tanganyika na Zanzibar kasheshe.Je, Kuunganisha Kenya na Tanzania .......halafu.....
DUH!
Katika mambo fulani ambayo Gaddafi anazumgumzia ambayo nayaunga mkono , pamoja na kuonekana kuwa yeye ni muovu kwa wengi, ni hili swala la muungano wa Afrika.

Lakini ....

  • Nakumbuka jinsi Kwame Nkurumah alivyo tumia pesa ya Ghana kujaribu huu mradi wa United States of Africa.
  • Nakumbuka jinsi Nyerere alivyo kuwa anaboresha Afrika kwa ujumla kwa kutumia mali ya Tanzania bila ku...Duh!Unakumbuka eti kavita ka kagera kanatukosti mpaka leo
  • Halafu nakumbuka jinsi Lumumba hapo Kongo alipokuwa anamfuata Nkurumah na.....
Lakini na kumbuka pia Sun Tzu katika kitaku chake cha The Art Of War alivyo sema kuwa.......
  • Ukitaka kushinda, kuwa na mpango ,lakini unayetaka kumshinda usimjulishe unatakakumshinda.Atajiandaa.
AU?
KWA Hivyo ...
Tuendelee na Kutengeneza Umoja wetu wa Afrika.
Swali:
Lakini ubangaivyavyo ni lazima wengine wajue?
DUH!

Labda...!

Lakini ngojea nikuondoe katika siasa zilizo kichwani nikuache na picha za chobisi za siku nilizo kutenga kidogo.
Napia ....
Umemsikia huyu mdau wa Moshi/Arusha akiwa na bendiyake 1/2 Caste.
Duh!Kiswahili si ni Chotara eeh?

Lakini kuna Mdau Mwingine huyu wa Arusha/Moshi ambaye Bongo hawamjui lakini katika Maiki Duh!Nikimdaka vizuri sehemu utamsikia..
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Yasin .Huyu we ngoja utamsikia halafu utaniambia
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Akiwa nami
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim eeh?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Mtimkubwa . Samahani nilibakia!
Ushawahi Kumuona Aliko bila kofia?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko !
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko eeh?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Lakini nakutakia kila la heri kati maonyesho yako Urusi!

Ze mambo mengine...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze mimi

Sio hoteli yangu lakini:-)
Samahani tena msikilize Majuto

Lakini mambo mengine zaidi....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasa...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Saaasaaaaa eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Ngojea nimuachie Snoop Dogg aelezee....

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Vyombo vya Rumi viko tayari.
Samahani kama hujui hili jambo.....!
Tulipitia hapa kumcheki mbongo aitwaye Rummy akiwa na bendi yake Mighty 44
Msikilize kidogo basi....

Sasa Rummy aka Rumpunch aka Mr B alipokuwa kazini....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mpiga gitaa
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mfuta jasho nyuma ya maspika
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Rummy kazini
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ushangilizi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko, nilikudaka ulipogeuka katika ushangilizi:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Rummy na Aliko baada ya kazi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim, Rummy , Mtimkubwa na mimi baada ya onyesho.

Sasaaaa.....
Turudi kwa
Gaddafi! basi.....

Huyu jamaa wengi wanamuita Muarabu kwasabau ni Muarabu. Lakini Huyu jamaa anajaribu sana kuwahakikishia watu kuwa ni Muafrika.
Duh!
Swali:
Hivi Libya si iko barani Afrika?
Hivi Dewji pale bongo ni Mhindi eeh?

Sasa wale Waafrika ya kusini, akina Dr Leakey na wale pale kilosa na chobisi nyingine ambao ni weupe , sio Waafrika eeh?
Najiuliza tu usitishike!
Niko Mawazoni!
AU?

Halafu usimaindi sana Snoop Dogg pale juu.
Endelea na Onyeka Onwenu na King Sunny Ade hapa
Alhamisi njema!

Lakini kuna wadau wamenitumia e-mail kusema kuwa wanapata taabu kufuatilia nasema nini na namaanisha nini!
Duh!

Mzee Manento eeh!
Nimeingia mjini jana usiku !
Nikipata nafasi usishangae kile kitu.

Read more...

KUNONG'ONEZA!

>> Sunday, June 24, 2007

Kwa sauti ya Nzige
Wakati jicho likimuiga kinyonga
Kumtazama......
Kumuambia......
yale maneno ya asali...
matamu hata kama ujala futari....

Ili nikunong'oneze....
lete sikio karibu basi!.....
Upatiwe mnong'ono ......
ili watu wengine wasisikie basi.

Duh!
Hebu Meiway na Lokua Kanza watupooze kidogo.........

Ngoja niendeleeee............

AU?

Nipe mkono
Usikie mnong'ono wa moyo wangu basi.....
kwani mdomo..............!
wafikisha nusu ya ujumbe usiowazi...
Ingawa na hema na moyo usiowazi
Nahisi kama paka...
wajua ushanidaka basi!

Duh!
Sasaaaa........!

Pumua kidogo na Damian na Steve Marley
.
Najua lakini kuwa nimezidisha rege za familia ya Bob Marley kipindi hiki lakini....!

Sasa nakuacha na baadhi za picha za wiki mwisho hii........
Lakini kabla ya hiyo......
Samahani Ronaldo, Mzee Wax, Aliko ,Deo Mponda,Ben Kakengi ,............... na wote wengine...Usimaindi kama sijakutaja jina.:-)
Sikutegemea watu watakuwa wengi hivyo chobisi .........
Lakini naamini mlistukia maswala.

Lakini.............

Na anza na Ze nyama choma...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
sasa!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
sasaaaaaaaaa!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Nyama choma zaidi..
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Ze Watu....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ruth

Ruth eeh!
Najua hupendi kupigwa picha:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Stacy
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Njau.Ungekuwa Mtanzania ningefikiria kuwa wewe ni Mchaga.Lakini hivi Njau kwa kikikuyu maanayake nini?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Pihla
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Irene
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
DUH! lakini tuendelee kidogo.......

Najua umechoka kucheki ZE PICHAS!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze Mpishi:-)

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasa!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasaaaaaaaaaaaaaa eeh!

Naacha basi!

Kumbe kesho ni jumatatu eeeh?

Lakini basi ngojea upone kutoka katika adhabu ya kuona baadhi ya picha za wiki mwisho hii kwa kusikiliza hiki kibao cha longi cha SNOW

Duh!
Turudi kwenye kunong'oneza......!

Swali :
Ushawahi kunong'onezwa hivi karibuni?

Lakini minong'ono mingi niumbeya.

AU?

Usisahau kuni....

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP