Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umoja wa Afrika nishai!- Asema Gaddafi !

>> Thursday, June 28, 2007

Gaddafi kasema juzi kuwa jawabu ni kuwa na serikali moja ya Afrika.
Asema mtengano huu wa nchi za Afrika hausaidi hata nchi moja ya kiafrika.
Asema OAU na AU kwa miaka yote hii hajafanya kitu ambacho serikali moja ya Afrika inaweza kufanya.
Lakini.....
Hata hapo Afrika Mashariki, kuunganisha Tanganyika na Zanzibar kasheshe.Je, Kuunganisha Kenya na Tanzania .......halafu.....
DUH!
Katika mambo fulani ambayo Gaddafi anazumgumzia ambayo nayaunga mkono , pamoja na kuonekana kuwa yeye ni muovu kwa wengi, ni hili swala la muungano wa Afrika.

Lakini ....

  • Nakumbuka jinsi Kwame Nkurumah alivyo tumia pesa ya Ghana kujaribu huu mradi wa United States of Africa.
  • Nakumbuka jinsi Nyerere alivyo kuwa anaboresha Afrika kwa ujumla kwa kutumia mali ya Tanzania bila ku...Duh!Unakumbuka eti kavita ka kagera kanatukosti mpaka leo
  • Halafu nakumbuka jinsi Lumumba hapo Kongo alipokuwa anamfuata Nkurumah na.....
Lakini na kumbuka pia Sun Tzu katika kitaku chake cha The Art Of War alivyo sema kuwa.......
  • Ukitaka kushinda, kuwa na mpango ,lakini unayetaka kumshinda usimjulishe unatakakumshinda.Atajiandaa.
AU?
KWA Hivyo ...
Tuendelee na Kutengeneza Umoja wetu wa Afrika.
Swali:
Lakini ubangaivyavyo ni lazima wengine wajue?
DUH!

Labda...!

Lakini ngojea nikuondoe katika siasa zilizo kichwani nikuache na picha za chobisi za siku nilizo kutenga kidogo.
Napia ....
Umemsikia huyu mdau wa Moshi/Arusha akiwa na bendiyake 1/2 Caste.
Duh!Kiswahili si ni Chotara eeh?

Lakini kuna Mdau Mwingine huyu wa Arusha/Moshi ambaye Bongo hawamjui lakini katika Maiki Duh!Nikimdaka vizuri sehemu utamsikia..
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Yasin .Huyu we ngoja utamsikia halafu utaniambia
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Akiwa nami
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim eeh?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mtimkubwa . Samahani nilibakia!
Ushawahi Kumuona Aliko bila kofia?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko !
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko eeh?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Lakini nakutakia kila la heri kati maonyesho yako Urusi!

Ze mambo mengine...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze mimi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sio hoteli yangu lakini:-)
Samahani tena msikilize Majuto

Lakini mambo mengine zaidi....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasa...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Saaasaaaaa eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Ngojea nimuachie Snoop Dogg aelezee....

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Vyombo vya Rumi viko tayari.
Samahani kama hujui hili jambo.....!
Tulipitia hapa kumcheki mbongo aitwaye Rummy akiwa na bendi yake Mighty 44
Msikilize kidogo basi....

Sasa Rummy aka Rumpunch aka Mr B alipokuwa kazini....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mpiga gitaa
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mfuta jasho nyuma ya maspika
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Rummy kazini
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ushangilizi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko, nilikudaka ulipogeuka katika ushangilizi:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Rummy na Aliko baada ya kazi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim, Rummy , Mtimkubwa na mimi baada ya onyesho.

Sasaaaa.....
Turudi kwa
Gaddafi! basi.....

Huyu jamaa wengi wanamuita Muarabu kwasabau ni Muarabu. Lakini Huyu jamaa anajaribu sana kuwahakikishia watu kuwa ni Muafrika.
Duh!
Swali:
Hivi Libya si iko barani Afrika?
Hivi Dewji pale bongo ni Mhindi eeh?

Sasa wale Waafrika ya kusini, akina Dr Leakey na wale pale kilosa na chobisi nyingine ambao ni weupe , sio Waafrika eeh?
Najiuliza tu usitishike!
Niko Mawazoni!
AU?

Halafu usimaindi sana Snoop Dogg pale juu.
Endelea na Onyeka Onwenu na King Sunny Ade hapa
Alhamisi njema!

Lakini kuna wadau wamenitumia e-mail kusema kuwa wanapata taabu kufuatilia nasema nini na namaanisha nini!
Duh!

Mzee Manento eeh!
Nimeingia mjini jana usiku !
Nikipata nafasi usishangae kile kitu.

9 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Aliko 6:28 pm  

MIGHTY 44 wanatwanga simon si mchezo, mzee ile rock blended with reggae fusion ya hiphop and heavy metal guiters all in one is another level of the new album rocks big time as well.....big up mr b keep the good work! others wise RAS KITU! ulivyopotelea pale chobis mida fulani kumbe ulingia mitaa ya ASIA duuh si mchezo we had blazing time....

Simon Kitururu 8:30 pm  

@Aliko:Siutani!Lakini umecheki hiyo kazi ya Majuto hapo juu?Sound injinia na mavitu kadhaa haya fikii.Lakini aidia poa ndo maana nasapoti.Lakini wanahitaji Mtaalau fulani hivi wa sikio na wa kupruni yasiyo ya lazma

Anonymous 2:44 pm  

Najaribu tena...nilikuwa nasema hivi, vilembwe na vilembwekeze wako, watajiita wafini au wa tz? ikiwa makao yao ufini...

Anonymous 2:45 pm  

Nimegundua tatizo, nilikuwa najaribu kuchapisha maoni same time ulikuwa waibandika post.

Aliko 10:07 am  

serina sikuelewa na neno vilembwe??
simon mzee majutoz kiboko tangu 1971.. yupo kwenye comedy mpaka leo... anyway siku hizi anajamba kinoma.. hehehehe cheki clip zake youtube

This comment has been removed by the author.
Anonymous 2:09 pm  

kilembwe: great great grandchild - mwana wa kitukuu

Simon Kitururu 12:59 pm  

@Serina:Hata sijui kama wakati wavilebwe nitakua bado Ulaya.Mpaka sasa sijafanikiwa kupata mtoto na yeyote.Hivyo sijui nitakuwa nimejibanza wapi wakati
@Aliko:Kweli Majuto kadumu.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP