Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NEEKERI! Nasikitika kusahau kubeba Kamera Jana!Lakini....!

>> Saturday, June 16, 2007

Basi nilishuhudia Wazungu fulani wakimpiga Msomali Mmoja.Kutokana na kutoiamini simu yangu heti siku daka ugomvi nikakimbilia kuwaita Polisi. Polisi walipofika cha ajabu wakamchukua Msomali na kuwaacha Wazungu.Niliwadaka bado na simu yangu wakitukana Watu weusi.Hapa chini kama huelewi Kifini unaweza kubunia wanasema nini..


Hili chini ni gari la polisi lililomchukua Msomali na kuwaachia hao wazungu juu baada ya mimi kuliita....

Bado najilaumu kwanini niliita Poliisi kabla sijaurekodi ugomvi na simu yangu.
Ila Mtimkubwa anaufuatilia ugomvi huuu kisheria

Duh!
Ndio maana namuelewa Ice T alipoimba ule wimbo Cop Killer.Ingawa nimekosa video yake hapa lakini bado mpate Ice T...

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 11:13 am  

Dah! kazi ipo ughaibuni.Hivi wazungu na wahindi nani mbaguzi kushinda mwenzie?

Simon Kitururu 4:43 am  

Wote wabaguzi

Anonymous 1:21 am  
This comment has been removed by a blog administrator.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP