Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ushawahi kumridhisha eeh?

>> Thursday, June 07, 2007


Tatizo la kuridhika ni kwamba halidumu.
Kila siku inabidi upalilie kuridhika .
Kuridhika ni kama moto, kila siku inabidi uongeze kuni.

Kuridhika ni kama njaa...............
Pilau uliokula jana , kama leo una njaa haisaidii kitu ukinisimulia.

SWALI:
Unakumbuka tunaposimuliana kuwa jana ilikuwa babu kubwa eeh?


Leo Je?

Namuachia I-Wayne

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP