Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jeff Konainge!Duh!

>> Saturday, June 02, 2007



Maswala ya kublogu yamemponza mshikaji!Hivyo wazee kale ka stori unako chat na ....
Usishangae kakatoka kwenye blogu fulani!

Jamaa alikuwa miongoni mwa wanahabari kutoka Afrika ambao kabla ya skendo walikuwa .....
Duh!
Kuna kitu mimi sikielewi kwa sababu sijawahi kukifanya.

Swali:

Hivi wewe ushawahi kufikiria kurekodi mazungumzo ya kila mtu unayeongea naye , kwa kufikiria kuwa siku moja uta mdaka kwenye kakitu?

Unakumbuka Bill Clinton alivyodakwa kisa mwanamama alikuwa anamrekodi rafikiye wakiongea chobisi?

Hivi unatunza maongezi yako ukiwa una chati sehemu sehemu?

Sijui kwanini hiki kihabari kimenisikitisha!
Si kwa sababu ya kutaka kumtetea lakini .................!
Lakini tuko pamoja!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 12:11 am  

Belafonte alivyoimba..."the woman is smarter!" niliposikiza mdundo huo mara ya kwanza, umekwama kichwani hadi wa leo...tafuta nawe uburudike. Jeff namsikitia lakini nd'o hali ya maisha...utamwamini nani?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP