Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuuma na Kupulizia!

>> Sunday, June 10, 2007


Duh!
Nafikiri ulifikiria nitasema sana!
lakini unajua maswala ya kuuma na.....
Duh!
Swali:
Ushawahi kupulizia bila sababu wakati unajua kua unavyouma ndio ukweli?

Duh!
Jumapili Njema
Wapate dada zetu waki... wakicheza dhambi!



AU?
Basi Bwana inabidi ni warudishe tu Kingwendu Family Wakupe Huyu dada mapepe!

Swali:
Lakini hivi huyu kaka Je?

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 10:31 am  

Mganga huyu umemtoa wapi! Mapepe kweli!

mwandani 5:34 pm  

Vipi umebadili namba au umepoteza simu? Nimejaribu kukupigia mpaka nimechoka!

Simon Kitururu 5:40 pm  

@Mwandani:Namba ni ileile.Inawezekana kwa bahati mbaya ulikuwa unapiga wakati simu yangu iko sailensi.Kwa sababu nimestukia kuwa kuna mtu kanipigia mara kadhaa lakini hakukua na namba.Ndio maana nilishindwa kustukia kuwa ni wewe

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP