Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kitu kidogo Kinisumbuacho!

>> Wednesday, June 20, 2007

Kitu kidogo ukipendacho
Kitu kidogo ukifanyacho
Kitu kidogo nikipendacho
Kitu kidogo kinisumbuacho!
Kitu kidogo kikusumbuacho
kitu kidogo nikipendacho
Kitu kidogo usicho kifikiriacho
kitu kidogo ukiachiacho
Kitu Kidogo Kiniumizacho
Kitu kidogo kikuumizacho
Kitu niendeleacho kukifanya
Kitu kidogo uendeleacho kukifanya
Kitu kidogo......ambacho saa nyingingine ukiangaliapo
Ukiangaliapo kwa pembeni wakati unajiaangalia mwenyewe..
Uangaliwapo wakati hata hujiangalii mwenyewe

Uta.............
Nita.....
Wata...
Labda hutabadili..
Labda sita badili....
Labda....
Duh!
Lakini......
Kidodo kidogo si hujaza kibababa?
Kibaba kibaba sihujaza kibabu?
Kibabu kibabu hujaza......

Samahani nakuzingua!
Hebu Mpate Paul Potts aliyeshinda Talent show juzi Uingereza.Samahani kama husikilizi Opera lakini!

Lakini......
Hebu Msikilize Mtimkubwa akisema.....:

Jumamosi iliyopita Watanzania tuligubikwa furaha baada ya timu yetu ya taifa kuifunga timu ya taifa ya Burkina Faso goli 1-0. Nderemo, vifijo, na halahala nyingine za furaha ya ushindi wa Taifa Stars ziliashiriwa kwa namna anuai mojawapo ikiwa ni ya uzuru wa wachezaji wa Taifa Stars bungeni mjini Dodoma.

Katika uzuru huo wa Taifa Stars bungeni Dodoma jumla ya shilingi milion 322.5 zilichangwa kama bahashishi ya wachezaji wa timu ya Taifa Stars. Miongoni mwa wachangiaji walikuwemo Wananchi, Wapenzi wa soka, Vigogo = Waheshimiwa Wabunge na Mawaziri, Wafanyabiashara, pamoja na Wizara mbali mbali.

Moyo huu wa 'harambee' pengine unaweza kukuchekesha au kukukasirisha. Kama UKISHINDWA KUKASIRIKA CHEKA:

The ‘harambee’ continued during luncheon at which Infrastructure Development Minister Andrew Chenge said his ministry and institutions under it were topping up their earlier pledge (70m/-) by 30m/-.
Other pledges were made by Industries and Trade Minister (30m/-), Labour, Employment and Youth Minister John Chiligati (10m/-) while Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi pledged 15m/-. He also pledged a further 15m/- from his personal companies.
Singida Urban MP Mohammed Dewji gave 30m/- while the proprietor of TIOT Company pledged 10m/-. Dodoma residents contributed 25m/- on the spot at the airport. Team captain Shadrack Nsajigwa received the money from the prime minister on behalf of his colleagues.

Siongezei alivyosema Mtimkumbwa!
Lakini.....
Samahani nilidakwa na shughuli kidogo wadau wangu wa blogu na wengine nilio watenga kidogo.Nakuacha na baadhi ya picha za Wikimwisho iliyopita katika kupitia sehemu za ...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kweba(Mzee wa Holland) hapa mimi na Dr Mtafungwa tulipokuwa tunaongea nawe ..

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Edo
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Edo eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kivuli changu jalalani
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze Mbwa
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Tommy na...
Swali:
Hivi neno Mbwa na Mbu linaandikwa sawasawa?

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Tony Flash Mzee wa CHAD
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kerry wa Guadelupe

Kabla sijaendelea....
Samahani kwa kuvaa suti katika paki...Sikupanga hivyo,ila litokea kutokana na
mambo ya mtondo gooo:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Tulia kidogo na Doo Doo.Usicheke basi wakati jamaa huyu wa Nigeria akilazimisha Rap

Tuendelee....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ben
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Bakari
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
DJs at work
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Allen
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Allen eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Bonanza
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Bonanza eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!Najua ilibidi uondoke!:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Bila kuwasahau Wazee wa Senegal

Sasaaa.......

Kitu kidogo ni kwambaaa...........
Tuko Pamoja!
Hoja kubwa nitaandika kesho lakini usisahau.....
JUMUWATA
Mpate Bobby Brown basi kabla Whitney Huston hajamuovateki katika umaarufu...

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 2:59 pm  

:) bado nasoma...

Simon Kitururu 9:42 am  

Serina, umemaliza kusoma?...:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP