Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUNONG'ONEZA!

>> Sunday, June 24, 2007

Kwa sauti ya Nzige
Wakati jicho likimuiga kinyonga
Kumtazama......
Kumuambia......
yale maneno ya asali...
matamu hata kama ujala futari....

Ili nikunong'oneze....
lete sikio karibu basi!.....
Upatiwe mnong'ono ......
ili watu wengine wasisikie basi.

Duh!
Hebu Meiway na Lokua Kanza watupooze kidogo.........

Ngoja niendeleeee............

AU?

Nipe mkono
Usikie mnong'ono wa moyo wangu basi.....
kwani mdomo..............!
wafikisha nusu ya ujumbe usiowazi...
Ingawa na hema na moyo usiowazi
Nahisi kama paka...
wajua ushanidaka basi!

Duh!
Sasaaaa........!

Pumua kidogo na Damian na Steve Marley
.
Najua lakini kuwa nimezidisha rege za familia ya Bob Marley kipindi hiki lakini....!

Sasa nakuacha na baadhi za picha za wiki mwisho hii........
Lakini kabla ya hiyo......
Samahani Ronaldo, Mzee Wax, Aliko ,Deo Mponda,Ben Kakengi ,............... na wote wengine...Usimaindi kama sijakutaja jina.:-)
Sikutegemea watu watakuwa wengi hivyo chobisi .........
Lakini naamini mlistukia maswala.

Lakini.............

Na anza na Ze nyama choma...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
sasa!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
sasaaaaaaaaa!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Nyama choma zaidi..
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Ze Watu....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ruth
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ruth eeh!
Najua hupendi kupigwa picha:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Stacy
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aliko
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Njau.Ungekuwa Mtanzania ningefikiria kuwa wewe ni Mchaga.Lakini hivi Njau kwa kikikuyu maanayake nini?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Pihla
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Irene
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
DUH! lakini tuendelee kidogo.......

Najua umechoka kucheki ZE PICHAS!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ze Mpishi:-)

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasa!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasaaaaaaaaaaaaaa eeh!

Naacha basi!

Kumbe kesho ni jumatatu eeeh?

Lakini basi ngojea upone kutoka katika adhabu ya kuona baadhi ya picha za wiki mwisho hii kwa kusikiliza hiki kibao cha longi cha SNOW

Duh!
Turudi kwenye kunong'oneza......!

Swali :
Ushawahi kunong'onezwa hivi karibuni?

Lakini minong'ono mingi niumbeya.

AU?

Usisahau kuni....

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Aliko 1:20 pm  

Mamanzi wa nairobi kiboko..beautiful..nyama choma ilikua safi..mid summer party kwa RAS KITU ilitoka bomba...ilahizi mobile phones zilitumika vizuri kuvuta macrashers pale heheheheeehe

luihamu 1:33 pm  

Picha zinajieleza bila hata kutoa dondoo,natumai mliselebuka vilivyo,ni ishara nzuri kuona au kuwaona waafrika pamoja.

Mzee simon vipi tena mlikosa mboga za majani na juice?

Respect.

Anonymous 3:07 pm  

Ndugu yetu Simon wala hata usituombe msamaha ndio hali ya kupendwa na kila mtu, wewe ni mtu ambaye kila mtu anaye kufahamu hawezi kukosa kuja kukupa kampani tulifurahi siku hiyo na tusubilie siku ya kuzaliwa kwangu hapo tarehe 7/7 naomba mzee usikose.Ronaldo

Anonymous 6:15 pm  
This comment has been removed by a blog administrator.
Simon Kitururu 4:40 pm  

Unajua nimestukia katika picha hizi asiye kuwa Mkenya ni mimi ,wazungu na Aliko.Lakini siutani nilifurahia , ingawa watu walikuwa wengi kuliko nilivyotegemea.
@Rasta mboga za majani zilikuwepo na Juice zilikuwepo.
Huzioni tu hapo kwa sababu fulani...kama ushatokea katika hizi kitu unajua sababu..

Anonymous 10:05 pm  

Mbona blogu yako yanitema kila mara?
serina.

Simon Kitururu 11:14 pm  

@Serina:sijui kwa nini!Halafu unajua mimi si mtundu wakujua sana maswala ya IT. Lakini kumbe upo Serina:-)

Anonymous 9:37 pm  

[url=http://sapresodas.net/][img]http://vioperdosas.net/img-add/euro2.jpg[/img][/url]
[b]layers in photoshop elements 6 for mac, [url=http://vioperdosas.net/]buy my software[/url]
[url=http://sapresodas.net/]i lost my microsoft office 2003 product key[/url] pda software downloads office home software
cheap oem software [url=http://vioperdosas.net/]slipstream office 2003 service pack 3'[/url] adobe acrobat 9 key torrent
[url=http://sapresodas.net/]adobe photoshop cs3 for mac[/url] adobe software reviews
[url=http://sapresodas.net/]discount software house review[/url] free download mac theme for windows vista
buy cheap microsoft software [url=http://sapresodas.net/]best adobe software[/url][/b]

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP