Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo ni siku ya kuzaliwa Bibi yangu!

>> Friday, June 22, 2007


Bibi yangu Mzaa Baba katimiza miaka 90 leo.
Sijui kwanini sikuwajulisha siku ya babu yangu.
Babu yangu Mzaa baba sasa hivi ana miaka 100 na miezi mitatu.

Duh!
Babu Mzaa Mama nilipozaliwa alisha anza. Bibi Mzaa mama alifariki wakati mimi mtoto mdogo sana.

S
amahani lakini kama nakuzingua kwa kukupa kastori haka kangu hapa.
Duh!
Umesahau kuwa hapa ni chobisi yangu nini?
Samahani!

Hii ni kama unajiuliza kwanini ninaumimi hapa!

Swali:
Si katika zile dondoo tupewazo...
Zinasema Waafrika hawapitishi miaka arubaini na.....?

Sasaaaa ...................

Siko Tanzania.....
Siamini katika X-mass, sikukuuu ya kuzaliwa hata Kitchen Parti.....................
...
Lakini nimewatonya wadau fulani , hawaja kubali kuniachia bila kusherehekeaaaaaaaaaaaa.

Mimi Naenda chobisi hapa katika miondoko hiiiiii..


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Samahani!Sikupanga halafu nikitu nimestukia kuwa wadau wameniandalia leo.Kwa hivyo kama utawahi hakuna noma.

Karibu!

Kila kitu kipo!

Pata haka kawimbo ka Steve Marley basi, kabla hatuja wasiliana ...


Ben na Mtimkubwa najua Reggae haipandi lakini....


Tukopamoja!

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 2:36 pm  

Hepi besidei bibi miaka 90 si mchezo.Kuna sehemu hujapita kule kwenye vile vinywaji.

luihamu 5:02 pm  

Mzee Simon Kitururu,homgera sana na mpe greetings Bibi.Huu ni mfano mzuri kabisa kwa sababu wengi wao wanadai umri wa mwisho wa mwafrika ni miaaka 45 sasa hapa sijui watasema nini.

Eti wao wakifikisha miaka 100 basi vyombo vyote vyahabari vinahamia kwao WAKATI HUKU KWETU NI MAMBO YA KAWAIDA MIAKA 150,200 N.K.

NUFF NUFF RESPECT MZEE SIMON.

luihamu 6:45 pm  

Mzee Simon,mbona hauna hicho kigari cha kubebea bidhaa AU,kulikoni mbona huyo jamaa nyuma yako anakucheki sana?Ua kashtukia hizo Dreadlocks.

Nuff Nuff Respect Mzee Simon.

Simon Kitururu 9:09 am  

@Egidio:Kule sehemu kulipitiwa :-)
@Rasta:Duh!Hivi ni kweli tunafikisha kwa kawaida miaka 150?Kigari duh!
Lakini huyo mtasha hapo nyuma nafikiri alikuwa hajawahi kuona mtu mweusi laivu:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP