Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!
Showing posts with label Krosi KIAINA. Show all posts
Showing posts with label Krosi KIAINA. Show all posts

MWONGOZO KUHUSU UTARATIBU WA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUSHIRIKI KUTOA MAONI YAO KUHUSU UPATIKANAJ​I WA KATIBA MPYA

>> Friday, August 17, 2012


Wakuu,

Tafadhali tembeleeni link kupata mwongozo:







Rgds

Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street,
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

Read more...

Sikiliza kwa makini Mahojiano na Mhe. Dr Faustine Ndugulile

>> Monday, July 30, 2012


Dr Faustine akiteta na Nguli Mubelwa BANDIO





Sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na Mbunge wa Kigamboni (CCM) Dr Faustine Ndugulile ambaye ameeleza mengi kuhusu kongamano kuu la UKIMWI alilohudhuria hapa Washington DC, hali ya mapambano ya UKIMWI nchini Tanzania na pia harakati zake BUNGENI. Kagusia mgogoro wa MJI MPYA wa KIGAMBONI na mengineyo. 

Karibuni


 













Sikiliza kwa makini Mahojiano na Dr Faustine Ndugulile Part 2

Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni (CCM) Dr. Faustine Ndugulile. Katika sehemu hii, amezungumzia suala la mgomo wa madaktari na athari zake kwa nchi. Je! Yeye (ambaye pia ni Daktari) anaamini kuwafutia leseni ni uamuzi sahihi?. Tumesherehekea SIKU YA MASHUJAA NCHINI. Ni kweli kuwa Tanzania TUNA MASHUJAA? TUNAWAENZI VEMA MASHUJAA (kama wapo) na NI VIPI TUNATENGENEZA MASHUJAA WAJAO? Anazungumzia vipi vipaumbele vya matumizi ya serikali kulingana na mahitaji ya mwananchi? Ni vipi/ ama kwa kiasi gani kuna ushirikiano wa wabunge (hasa vijana) toka vyama mbalimbali ili kuipeleka Tanzania mbele Imeelezwa kuwa serikali inachangia 3% ya gharama za mapambano dhidi ya UKIMWI licha ya kuutangaza kama JANGA LA TAIFA. Ni kweli tuna dhamira ya kupambana na ugonjwa huu? Na upi mwito wake kwa wa Tanzania wote?

 KARIBU


   





 Nimetumiwa na JUMA ISSA mahojiano yaliyofanywa na Nguli MUBELWA BANDIO wa CHANGAMOTO YETU aka "The Way You See The Problem Is The Problem" 

Read more...

YAH: NAFASI ZA AJIRA/KAZI DUWASA DODOMA

>> Sunday, July 08, 2012










Wadau naombeni msome nafasi hizi za kazi kwa anayehitaji kazi aombe na naomba pia mnisaidie kulisambaza tangazo hili kwa wadau wengine zaidi.

Asante sana!

SEBASTIAN V. WARIOBA
MKUU WA UHUSIANO
DUWASA - DODOMA

Read more...

Tanzania must stop re-flaggin​g Iran tankers: U.S. lawmaker

>> Saturday, June 30, 2012


(Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.
Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.


"This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism," Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters.


Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.
He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania.


Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.
The sanctions, along with similar action by the European Union, are aimed at pressuring Iran to curb its nuclear program, which the West believes aims to develop nuclear weapons but which Tehran says is for peaceful purposes.


The United States gave China a six-month reprieve from Iran financial sanctions on Thursday. The Obama administration has now spared all 20 of Iran's major oil buyers from its unilateral sanctions, rewarding them for cutting purchases of Iranian oil.
(Reporting By Russ Blinch; Editing by Bob Burgdorfer)

SOURCE:

Read more...

Moja ya almasi ithaminiwayo sana na Malkia wa Uingereza !

>> Thursday, June 28, 2012

WAKATI kuna UHAKIKA  kuna zawadi nyingine zimetoka TANZANIA,....
..... LABDA angalia tu baadhi ya ALMASI za wamaskini WATANZANIA ziendako.......
... msisitizo UKIWA ni pale tu MKANADA zawadi yake ni kutoka TANZANIA....
.... wakati simaanishi kuwa MKANADA zawadi zake lazima zitoke KANADA.



Swali:
  • Si Tanzania ni NCHI masikini?
Just SAYIN'!:-(



Read more...

MBWEMBWE ilizinoge TAMU kunoga,....

.... yahitaji mwenye MBWEMBWE ajue kwanza aoneshacho MIKOGO!:-(



Swali:
  • AU?


Na mtu akionesha MIKOGO kimbwembwe katika asilolijulia VIZURI,...
...hata kwenye kujamba ,...
...MTU anaweza kujinyea aisee!:-(


Swali:
  • AU?
Ndio,...
.... kama hutaki KUBAHATISHA,...
......LABDA julia ukifanyiacho MBWEMBWE  kabla ya MBWEMBWE!:-(
Ni wazo tu hili aisee MHESHIMIWA!


Hebu Meet Me At the River ,...
.....kwa msaaada wa MAFIKIZOLO ki-EMLANJENI





Au tu hawa hawa MAFIKIZOLO wazime tu tena kwa-Nisixoshelani

 



Halafu tu hebu JULIANA KANYOMOZI na BUSHOKE wazime kwa-USIENDE MBALI




Na ndio,...
... kuna enzi nilikuwa natafutia mademu kwa Gitaaa...:-(



Na nipo bado bila GITAA zaidi...:-(










Read more...

Jamii Forums-Mah​ojiano na Mwanzilish​i Mwenza-Max​ence Melo

>> Wednesday, June 20, 2012







 Maxence Melo Mubyazi Muanzilishi mwenza wa JAMII FORUM

Hello,

Kila mara, katika muongo au muda fulani,huibuka kitu ambacho kwa namna moja au nyingine,hugusa wengi na kuwa na msukumo fulani.

Bila shaka tunakubaliana kwamba katika masuala ya shughuli za watanzania mtandaoni,mtandao wa Jamii Forums,unaweza kukidhi haja ya nilichokisema;kugusa wengi na kuwa na msukumo.









Yapo mengi ya kujifunza pale Jamii Forums.

Lakini Jamii Forums ni nini,walianzia wapi,nini malengo?

Uhuru wa mipaka ya kujadili na kujadiliana unazingatiwa kwa namna gani?


Maswali ni mengi.

Hivi karibuni nilimtafuta mwanzilishi mwenza wa mtandao huo,Maxence Melo ili kuzungumzia masuala kadhaa.


Haya hapa ni mahojiano kamili ambayo naamini wasomaji wengi zaidi wana haki ya kuyasoma:



Nakutakia kazi njema.
Pamoja!

Read more...

RATIBA YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLIAM FOFO MAPUNDA



 WILLIAM FOFO MAPUNDA (FOFO)

MWILI WA MAREHEMU WILLIAM FOFO MAPUNDA UTAAGWA RASMI LEO TAREHE 20/06/2012 NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU TAYARI KWA KUPELEKWA NYUMBANI KWAO MANDA LUDEWA KWA MAZISHI, AMBAYO YATAFANYIKA KESHO TAREHE 21/06/2012 SIKU YA ALHAMISI.








RATIBA:


SAA 5.00 ASUBUHI:  -   MWILI KUWASILI NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU


SAA 6.00 - 7.00 MCHANA:          -    CHAKULA KWA WOTE


SAA 7.00 - 8.30 MCHANA:          -     SALAMU ZA MWISHO (LAST RESPECT)


SAA 8.30 - 9.00 ALASIRI:            -     MWILI KUFIKA KANISANI (KANISA LA ANGLIKANA TABATA KISUKULU KARIBU NA BAR YA MAZDA)


SAA 9.00 - 10.30 JIONI:               -     IBADA NA KUAGA KWA WALE AMBAO WATAKUWA WAMECHELEWA NYUMBANI


SAA 10.30 JIONI:   -  KUANZA SAFARI YA KWENDA MANDA LUDEWA


WILLIAM FOFO MAPUNDA ALIFARIKI GAFLA USIKU WA KUAMKIA JANA NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU, KWA TAARIFA TULIZOZIPATA KUTOKA KWA MADAKTARI WA HOSPITALI YA AMANA ILALA, KIFO CHAKE KIMESABABISHWA NA KUPATWA NA BLOOD PRESSURE GAFLA. 


KWA TAARIFA YOYOTE PIGA NAMBA: 0713-254553

Read more...

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

>> Saturday, June 16, 2012

Mrusi wa Matumla amemkimbia baada ya kuona rekodi yake nikali. Wawili hao walikuwa wacheze katika mpambano uliopewa jina la “The Rumbleon the Mountain” na ulikuwa ushuhudiwe na mcheza sinema maarufu kutokanchini  Marekani Deidre Lorenz ambayeatakuwa anashiriki mbio za Mount Kilimanjaro marathon mjini Moshi tarehe 24Juni mwaka huu.

Deidre Lorenz anajulikana sana kwa sinema nyingi mojawapozikiwa The Santorini Blue, PerfectStrangers, The Big Fight na nyingine nyingi. Hata hivyo Deidre Lorenzataingia mjini Moshi akitokea nyumbani kwake New York , Marekani terehe 21 Junitayari kikimbia mbio hizo za Mt. Kilimanjaro Marathon.

Bondia huyo wa Urusi Vitaly Shemetov ambaye anajulikana kama“Siberian Tiger” aliingia mitini kiaina baada ya kupelekewa tiketi za ndege yashirika la Kirusi la Aeroflot yeye na kocha wake. Hii ni mara ya kwanza kwampambano wa kimataifa ulioandaliwa kwa pesa nyingi kutofanyika baada ya bondiammojawapo kuingia mitini kwa woga.

Bondia Rashid Matumla anayejulikana kama Snake Boy anarekodi ambayo mpaka sasa hakuna bondia yeyote wa Kitanzania aliyeweza kuifikia.

Matumla ameshawahi kuwa bingwa wa Taifa, Afrika Mashariki naKati, Bara la Afrika, Mabara na Dunia aliyetambuliwa na Umoja wa Ngumi Duniani(WBU). Akiwa chini ja DJB Promotions bondia Rashid Matumla ambaye kwa sasandiye Kamishna wa TPBC kanda maalum ya Dar-Es-Salaam alionyesha ubingwa wa haliya juu.

Hata hivyo Rashid Matumla amepangiwa kupigana na bondia mwingine siku za usoni  ili kupooza machungu ya kukimbiwa na Mrusihuyo!

Imetolewa na:

Onesmo A.M.Ngowi
President IBF/USBA for Africa
President, Tanzania Professional Boxing Commission (TPBC)
Director, Commonwealth (English Empire) Boxing Council (CBC)
Director, BRAND-Africa
Coordinator, Moshi Sister Cities Committee
Coordinator, International Education & Resources Network (iEARN) to Tanzania

Technology House, 35-38 Ghalla Road
P.O BOX 1106, Moshi - Tanzania
Tel:  + 255-2727-53434 (Office)
Tel:  + 255-2727-55118 (Residence)
Cell: + 255-754-360828
Fax: + 255-2727-54743
E-mail:  ngowio@yahoo.com
             ibfafrica@yahoo.com
             onesmongowi@hotmail.com
Webs:   www.ibf-usba-boxing.com
             www.commboxing.com
             www.iearn.org

Read more...

MCHEZA SINE​MA MAARUFU TOKA MAREKANI KUKIMBIA MBIO ZA MT. KILI MARATHON

Mcheza sinema maarufu duniani kutoka nchini Marekani Deidre Lorenz atakimbia mbio za kila mwaka za Mount Kilimanjaro Marathon zinazoanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 24 Juni mwaka huu kutoka Moshi Club mjini Moshi.

Mbio hizi zilizoanzishwa na mama Marie France kutoka katika mji wa Bethesda, Maryland nchini Marekani mwaka 1991 ni mbio zinazojulikana kama 7 continental Races na zimeshawahi kupata tuzo mbalimbali za kimataifa.

Ujio wa mcheza sinema huyu aliyecheza sinema nyingi kama vile Santorini Blue, Perfect Strangers, The Great Fight,  na nyingine nyingi unaiweka Tanzania katika macho ya dunia na kuwavutia watalii wengi kutoka taifa hili tajiri duniani. Deidre Lorenz alizaliwa katika jiji la Oregon nchini Marekani lakini akahamia katika jiji la New York City linalijulikana kama "The Big Apple" nchini Marekani akiwa na kampuni yake ya kutengeneza sinema inayoitwa Thira Films LLS.


Deidre Lorenz ameshawahi kuteuliwa zaidi ya mara tatu kugombe tuzo za wacheza sinema maarufu duniani zinazojulikana kama Grammy Awards. Mcheza sinema huyu  ataambatana na Wamarekani wengine kuja nchini tarehe 21 Juni kukimbia mbio hizi ambazo zimetokea kuutangaza sana mji wa Moshi tangu mwaka 1991. Lorenz alipatikana katika bahati nasibu iliyochezwa wakati wa mbio za New York Marathon mwaka jana.


Naye mwanzilishi wa mbio hizi mama Marie Frances ana historia ya kuanzisha mbio na matamasha mbalimbali duniani. Alikuwa pia mwanzilishi wa mbio za Pyramid Marathon nchini Misri pamoja na Miss Universe Egypt matamasha yaliyojizolea sifa kemkem.Aliombwa kuja kuanzisha mbio za Marathon nchini Tanzania na balozi wa Tanzania wa wakati ule nchini Misri.Mbio za Mt. Kilimahjaro Marathon ni moja kati ya mbio tafauti za marathon zinazifanyika katika mji wa Moshi.


Mount Kilimanjaro Marathon zitaanzia Moshi Club mpaka Rau madukani na kurudi mara tatu ambazo zitakuwa kilimeta 42. Kutakuwa pia na mbio z akilometa 21, kilimeta 10 na kilometa 5 kwa watoto. Wakimbiaji hawahitaji kuwa na ujuzi wa kukimbia watu wote wanaweza kukimbia.



Imetolewa na;
Grace Soka
Afisa  Uhusiano wa Mt. Kilimanjaro Marathon

Read more...

Mashindano Ya Kuchora

>> Sunday, June 10, 2012

MASHINDANO YA KUCHORA
KUKUSANYA MAONI


Image Profession (iP), inatarajia kutangaza muhula wa pili wa mashindano ya uchoraji yenye nia ya kuchochea tabia za kupenda kujihusisha na sanaa ya uchoraji na kuibua vipaji vya uchoraji.Mashindano yatashindanisha washiriki kutoka Taasisi za kielimu kwa makundi manne:-


1. Shule za awali/Nusery Schools
2. Shule za Msingi/Primary Schools
3. Shule za Sekondari/Secondry Schools
4. Taassi za Elimu ya Juu/Higher Learn Institutions


Tunakusanya maoni ya namna nzuri ya kuboresha mashindano haya na kuyafanya yawe ya kuvutia na washiriki wengi zaidi katika makundi husika.

Kwa ushauri,maoni na mapendekezo tuwasiliane kwa
Barua Pepe:info@imageprofession.com
Simu Office: +255222664740
Simu Kiganja: +255716430084,+255766248372 au +255653029037


Wasalam
Fredrick N.Roy
Image Profession
Mratibu wa Mashindano
P.O.Box 92
Dar es salaam
Tanzania

Read more...

KATIKA -A Candid Interview With Comedian Evans Bukuku

>> Wednesday, June 06, 2012

Hello,


Naamini popote pale ulipo upo salama salmini na kama kawaida,unaendelea na kazi ya kuelimisha,kuonya,kuburudisha na kufanya kile unachokifanya.


Dakika chache zilizopita nimechapisha mahojiano na Mchekeshaji Evans Bukuku.


Safari hii,nimebadilisha lugha kidogo.Mahojiano haya yapo katika lugha ya Kiingereza lugha ambayo naamini Bloggers wote tunaimudu.


Ni katika kuchanganya lugha tu ili kuleta burudani zaidi na pia kuendelea kujifunza.Tunajua ya leo lakini ya kesho na keshokutwa hatuyajui. Hiki hapa ni kiungo cha mahojiano hayo :



Nakutakia siku njema.

Read more...

Lameck Ditto: Alipotoka,​Alipo na Anapoota Kufika(Int​erview)

>> Monday, June 04, 2012

Habari ya Jumatatu!

Natumaini una nguvu tele na upo tayari kwa wiki nyingine ya mapambano.
Daima Mbele,Nyuma...


Tunapoianza wiki,ninalo la kukuhisha.


Ni mahojiano yangu na Lameck Ditto,mwanamuziki kijana ambaye sio tu kwamba ana kipaji,bali pia anaonyesha kuwa na nidhamu inayostahili katika medani ya muziki.Ametoka mbali na amepitia mengi.Hii hapa ni link ya mahojiano hayo:


Asante kwa ushirikiano.
Kazi njema.

Jeff

Read more...

Mahojiano na Mboni Masimba,Ho​st wa The Mboni Show

>> Friday, June 01, 2012

Hello,
Muda mfupi uliopita nime-publish mahojiano yangu na mwanadada Mboni Masimba,Host wa TV show mpya ya The Mboni Show. Hii hapa ni link http://www.bongocelebrity.com/?p=14082

Jeff

Read more...

ELIMU YETU - TANZANIA

>> Wednesday, May 16, 2012

WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA  SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO KAMA
WANAVYOONEKANA DARASANI LEO HII



HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA  KATIKA SHULE YA
MSINGI MAKUMBUSHO YA JIJINI  DAR ES SALAAM WAKIWA DARASANI, SIJUI WAPO
WANGAPI, WATOTO HAWA HULAZIMIKA KILA MWEZI KULIPA Tsh1000 YA MTIHANI
WA MWEZI,Tsh 1500 YA MTIHANI WA TERM,Tsh500 YA KILA SIKU YA UJI HAPO
BADO TIUSHENI,USAFI, MLINZI,LEBO,VIDUMU,FAGIO, NA MADAFTARI PIA
HULAZIMISHWA KUNUNUA HAPOHAPO.





Nimetumiwa hii Banangenge na:
BIG RIGHT

Read more...

WANAFUNZI UDOM WATOA ZAWADI YA PASAKA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MIYUJI KILICHOPO MKOANI DODOMA JANA

>> Sunday, April 01, 2012





 Hii ni moja ya Picha Kubwa iliyochorwa katika ukuta wa bweni ambalo wanalala watoto wa kituo cha Miyuji kilichopo katika Eneo la Miyuji Mkoani Dodoma.Kituo kinachoendeshwa na Kusimamiwa na Kanisa Katoliki





Mbuzi huyo alikua ni Moja ya Zawadi ya Pasaka kutoka kwa wanafunzi wa UDOM waliyopelekewa Watoto Waishio katika Mazingira magumu katika Kituo Cha Kulelea Watoto cha Miyuji kinachosimamiwa na Kanisa Katoliki kilichopo Miyuji Mkoani Dodoma






Wanafunzi wa UDOM wakiwa wamewasili katika Kituo Cha Watoto Cha Miyuji na Kiroba Cha Unga kama Moja ya Zawadi walizowapelekea watoto hao wakati walipotembelea kituo hiko cha miyuji kilichopo Maeneo ya Miyuji Mkoani Dodoma.








Watoto waishio Katika kituo Cha Kulelea watoto Cha Miyuji Wakiwa wamekusanyika mara baada ya Wanafunzi wa UDOM kuwasili katika Kituo hiko kilichopo maeneo ya Miyuji Mkoani Dodoma hapo Jana






Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa pamoja na watoto waishio kituoni hapo katika moja ya Mashamba ya machungwa yaliyopo kituoni hapo wakti wanafunzi wa UDOM walipokwenda kuwatembelea Watoto hao hapo jana






Picha Juu Ni wanafunzi wa UDOM wakishiriki kuimba pamoja na Watoto hao katika kituo hilo ambapo wanafunzi wa UDOM walienda kuwatembelea watoto hao jana na kucheza nao baadhi ya michezo





Baadhi ya Wanafunzi Wa UDOM wakiwa katika Picha ya Pamoja Na Watoto waishio katika Kituo Cha Miyuji kilichopo Maeneo ya Miyuji Mkoani Dodoma wakati wanafunzi wa UDOM walipokwenda kuwatembelea Watoto hao hapo jana.Picha zote na Fadhil Gharib Linga Wa Lukaza Blog - http://josephatlukaza.blogspot.com

Read more...

KUFUNGWA KWA MASHINDANO YA KUCHORA

>> Friday, March 23, 2012

Siku ya Jumamosi tarehe 24/03/2012 kutakuwa na kufungwa na kugawa zawadi kwa washindi wa Mashindano ya Uchoraji yaliyobeba kichwa cha Habari cha Miaka 50 ya Taifa yakishindanisha Tasisii za Elimu kuanzia shule za awali ,Msingi,Sekondari na Vyuo ,mashindano yaliyoandaliwa na Image Profession.

Hafla ambayo itatanguliwa na maonyesho ya picha za washiriki wa shindano pamoja na kuonyesha picha za wachoraji wazoefu kuanzia saa 11 :00 (Saa Tano)asubuhimpaka saa 14 :00(Saa Nane)Mchana kwenye Ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Taifa makabala na Chuo cha Fedha(I.F.M.)

Njoo ushuhudie Vipaji katika Sanaa za Uchoraji ,njoo uwape moyo Washiriki na pia uweze kujifunza mambo mengi yahusuyo sanaa hii ya uchoraji.

Pia Njoo ujuwe kichwa cha habari cha Mashindano ya Mwaka huu 2012.

WENU KATIKA UJENZI WA SANAA NA MICHEZO

Image Profession & iP Sports Club

22/03/2012


Nimetumiwa na :
E.Manase wa Image Profession na iP Sports Club

Read more...

KIN​GKAPITA na NAS 3 ft.RICH MAVOKO -MTOTO MLITO

>> Friday, March 16, 2012

BAADA YA KUFANYA VIZURI MWAKA JANA HADI MWAKA HUU MWANZONI NA NGOMA ILIYOBAMBA VILIVYO YA ACHAAAA WALIOMSHIRIKISHA PRODUCER WAO MESSEN SELEKTA NAKUWAPA SHOW ZA HAPA NA PALE NA INTERVIEW KIBAO NA WABONGO KUWAELEWA HAWA HAPA TENA WAKALI WAWILI WANAOFANYA VIZURI KWENYE BONGO FLAVA RICHBOI AKA KINGKAPITA NA NAS 3 WAFANYA BANGER LINGINE KALI WAKIMSHIRIKISHA RICH MAVOKO ANAEKIKI MJINI NA SILALI HAWA HAPA TENA WANAOMBA SUPPORT YENU SANA..


JINA LA ARTIST:RICHBOI-KINGKAPITA AND NAS 3
NYIMBO::MTOTO MLITO
PRODUCED BY MESSEN SELEKTA
STUDIO::DE-FATALITY


TUNAOMBA SANA SUPPORT YAKO MDAU NAGALAU TUWEZE KUFIKA PALE TUNAPO HITAJI NA MALENGO YETU KUWA KWELI
KAZI NJEMA NA MUNGU AKUBARIKI SANA!!
ONE LOVE!!












Read more...

MOROGORO FAMILY

>> Saturday, March 10, 2012





Ndio,...

.... gonga :

http://morogorofamily.blogspot.com/

Kama unatoka MOROGORO,...
...CHEERS!


Hebu MBARAKA MWINSHEHE MWARUKA na MOROGORO JAZZ BAND arudishe pini-SHIDA




Read more...

TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION

>> Tuesday, March 06, 2012

WAPENDWA WATAZAMAJI WA TMTV,TUNAWAOMBA RADHI KWA MATATIZO YALIYOJITOKEZA HAPO AWALI.KWA SASA TMTV IPO FITI NA MAMBO YAMEKUWA NI MAZURI KWANI NYIMBO KIBAO MPYA ZIPO HEWANI.TAFADHALI MJULISHE NA MWEZIO UPATAPO UJUMBE HUU KWA BURUDANI ZAIDI.




BONYEZA HAPA KUINGIA KTK TV. http://www.tmtv.co.tz/


Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo unaweza kuiona Online na pia ktk DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer yako kwa linki hii www.tmtv.co.tz.


Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.



Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES, aina zote kama za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRU SATTELITE.



TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.



TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha music ya kibongo mchanganyiko 24/7.

TMTV ina vipindi 10,

BENDI ZETU

SWAHILI HIP HOP

ZILIPENDWA

TAARABU

NYIMBO ZA ASILI

NYIMBO ZA DINI

SALAMU BOX

BONGO BOX

TMTV TOP 10

VIPAJI na

MUSIC NEWS.

Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha

Link www.tmtv.co.tz Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.

Email. info@tmtv.co.tz





SHUKRAN KWA USHIRIKIANO WAKO.

TMTV

UTAWALA.

http://www.tmtv.co.tz/

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP