Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KATIKA -A Candid Interview With Comedian Evans Bukuku

>> Wednesday, June 06, 2012

Hello,


Naamini popote pale ulipo upo salama salmini na kama kawaida,unaendelea na kazi ya kuelimisha,kuonya,kuburudisha na kufanya kile unachokifanya.


Dakika chache zilizopita nimechapisha mahojiano na Mchekeshaji Evans Bukuku.


Safari hii,nimebadilisha lugha kidogo.Mahojiano haya yapo katika lugha ya Kiingereza lugha ambayo naamini Bloggers wote tunaimudu.


Ni katika kuchanganya lugha tu ili kuleta burudani zaidi na pia kuendelea kujifunza.Tunajua ya leo lakini ya kesho na keshokutwa hatuyajui. Hiki hapa ni kiungo cha mahojiano hayo :Nakutakia siku njema.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP