Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna KUNOGEWA na kitu `` KUNOGEWA tu na KITU´´ ,kisa MAZOEA yamegeuza nanilii chungu iwe TAMU kimazoea!

>> Saturday, June 30, 2012

Kuna tamu,...
... UTAMU ukitafsiriwa kuwa ni MTAMU,...
... hata kama ni  kwa kuwa MAUMIVU yamezoeleka TU,...
... na sasa ndio yameshageuka kuwa KITU kijulikanacho na MWENYE kunogewa ambacho kitafsiri kina unganisha LADHA mpaka na MAZINGIRA bila kusahau wazungukao kwa kawaida SINIA la CHUKUCHUKU  chungu ila ni zifanyazo kwa ung'eng'e ``HOME inakuwa SWEET home´´ hata kama inavuja wakati bado NDIO home tena KIKUNOGEWA!

Swali:
  • AU?
  • Si CHUMVI na sukari kwa anogewaye vyote ni VITAMU?
  • Na si uzuri wa NYUMBA sio RANGI ndio maana siye wenye VIBANDA tunanogewa na HOMU sawa tu na wenye MAHEKALU ?

Na  katika MAZOEA,...
... nyanya chungu pamoja na UCHUNGU wake,...
... kwa aliyezoea hiyo TAMU kwa kuwa INANOGA tu hata kama UTAMU wake sio TAMUTAMU kama SUKARI bado ni TAMU kikunogewa ,...
.....hata kama ni KUNOGEWA na KUNOGEWA!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumamosi NJEMA aisee KAMANDA!

Hebu tubadili kwa msaada tena kutoka kwa,...
.... ZAP MAMA na Black Thought katika -RAFIKI
Iyeoka arudie- Simply Falling
Au tu Black Thought arudie safari hii,...

 na Erykah Badu kwa-You Got Me

 


Au tu THE ROOTS wazime kwa-The Seed

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP