Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama ujuavyo ni ipi ni CHUPI yako......kwa UHAKIKA kabisaa!

>> Friday, June 22, 2012

Labda,...
... JUA unachojua,...
.... na jua USICHOJUA!:-(


Swali:
  • AU?
Ndio,...
... na yasemekana hata katika KUKIRI huwa  yasiyojulikana hurukwa  na wengi ,...
... kuna wakirio tu  wadhaniayo ni WAJUAYO.:-(
Swali:
  • Unafikiri kuna BINADAMU ajuaye KITU  kwa UHAKIKA?
Ndio,..
... labda UNAJUA!
 
 
Ni wazo tu hili NGULI!
SIKU NJEMA kwako AISEE!!


Hebu tena Linton Kwesi Johnson arudie - Want Fi Goh Rave

 


Linton Kwesi Johnson aongelee pia-More timeMutabaruka akatizie denge kwa-DIS POEMHalafu MUTABARUKA azime kwa-Whey Mi Belang?

 Ndio nipo bado mtaani...1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:39 pm  

Siku njema nawe pia Kadoda!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP