Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BAADHI YA...ya katika pitapita zangu DENMARK hasa COPENHAGEN!

>> Tuesday, June 26, 2012

Ndio,...
.... mimi ni MSAFIRI na bado niko njiani....

Hebu kwanza :

Kikumbi Mwanza Mpango aka KING KIKI aanzishe kwa-ISEE

Yeah! Nipo!


Na nakutakia kila lakheri kwa UWANIALO, ufanyalo, au hata utakalo kuliacha hata kama ni LIMTU!Au tu Kikumbi Mwanza Mpango arudishe busara kwa-KOKO


Hebu huyuhuyu MAESTRO aongezee-Kitambaa CHEUPEAu azime tu kwa kutukumbusha HII yote ni MASANTULA,...
.... katika pini-Mtoto wa MJINI

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:25 pm  

Bonge la ujumbe na picha nzuri kweli mapozi ndani ya mapozi:-) kila la kheri nawe pia na uwe na wakati mzuri....

Ester Ulaya 3:01 pm  

nimekutamani, ninavyopenda kusafiri mimi jamaniiiii......thanx kwa kushare nasi

Simon Kitururu 3:53 pm  

Asanteni sana Dada zangu Ester na Kadala!

Yasinta Ngonyani 4:32 pm  

Ahsante kwa kushukuru Kadoda. Kweli upo safarini maana hupatikani:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP