Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati TUNATAFSIRI harufu ya CHOO TU KINUKACHO baada ya MHESHIMIWA kutoka MSALANI .....

>> Tuesday, June 26, 2012

.....yasemekana hutosha kuaminisha BAADHI YA WATU ,...
....kuwa ETI  wanajua stori  NZIMA ,...
....za kilichotokea CHOONI kishughuli!

Swali:
  • Na si inawezekana asili ya CHOO kunuka sio yule uliyekutananaye kwenye mlango wa CHOO kabla hujaingia ili nawe ukabili SHUGHULI za kimaisha?
  • Si unakumbuka DALILI ya GONO bado sio GONO  lenyewe kwa kuwa yaweza kuwa KIISHU hilo ni KASWENDE?

Ndio,...
... harufu ya CHOO labda ni dondoo tu ambayo,...
.....sio STORI kamili yani!

Swali:
  • Kwani unafikiri hata BAFUNI watu HUOGA tu hata na minyege yao ya kiutu uzima.... hata ile ya KISIASA ya kutaka kujeruhi MTU kisa anasiasa za mapenzi za mrengo wa pembeni?

Ndio,...
... labda hata harufu ya WALI vichakani,...
.... anukiaye ni NYOKA na wala sio UBWABWA!:-(

Ni wazo tu hili KAMANDA Mheshimiwa!

Hebu kimdodoso BOB MARLEY arudie-BAD CARD




Aongezee -Stiff Necked FOOLS





Ajaribu kuzima kwa- Time will tell






Ila tu hebu SHAI wabadili ili walainishe na kuzima tena kwa-If I Ever Fall In Love

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:38 pm  

Hakaki kweli hapa ni mawazo ndani ya neno DUH!

Simon Kitururu 3:54 pm  

Mmmmmh!@Kadala Yasinta wa Ngonyani.... wa Mswidi.

o'Wambura Ng'wanambiti! 4:20 pm  

utajastukia kuwa yawezekana si hata harufu ya wali ama nyoka bali ukoko wa madhiwa shingoni mwa mtoto :)

Yasinta Ngonyani 4:30 pm  

Kaaazi kweli kweli hapa..nakupa zote kwa kuwaza!Kadoda wa mimi:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP