Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MBWEMBWE ilizinoge TAMU kunoga,....

>> Thursday, June 28, 2012

.... yahitaji mwenye MBWEMBWE ajue kwanza aoneshacho MIKOGO!:-(Swali:
  • AU?


Na mtu akionesha MIKOGO kimbwembwe katika asilolijulia VIZURI,...
...hata kwenye kujamba ,...
...MTU anaweza kujinyea aisee!:-(


Swali:
  • AU?
Ndio,...
.... kama hutaki KUBAHATISHA,...
......LABDA julia ukifanyiacho MBWEMBWE  kabla ya MBWEMBWE!:-(
Ni wazo tu hili aisee MHESHIMIWA!


Hebu Meet Me At the River ,...
.....kwa msaaada wa MAFIKIZOLO ki-EMLANJENI

Au tu hawa hawa MAFIKIZOLO wazime tu tena kwa-Nisixoshelani

 Halafu tu hebu JULIANA KANYOMOZI na BUSHOKE wazime kwa-USIENDE MBALI
Na ndio,...
... kuna enzi nilikuwa natafutia mademu kwa Gitaaa...:-(Na nipo bado bila GITAA zaidi...:-(


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 11:54 am  

Ambiere, kwanza kila mara nasahau kukuuliza kuhusu hiyo picha ya hapo juu, maana ....mmh, unapinda shingo kuangalia mapambo ya dunia..oa bwana, siku za mwisho zinafika....lol.

Ama kuhusu `leo' mmh, nasema hivi, mbwembwe nyingi zikizidi,inageuka kuwa kichekesho, na ikizidi tena, watu waweza kukuona umechanganyikiwa. au nimekwenda nje ya mada?

Simon Kitururu 11:59 am  

Uko katikati ya MADA Mkuu!Ile picha pale Amsterdam , Uholanzi... na nikweli nilikuwa nadeku kitu!:-(

Ila kuhusu KUCHANGANYIKIWA,... kuna siye wengine kutokea mpka kwenye familia tunaonekana tumechanganyikiwa hata kwa kupasi sana mitiani!:-(@Kikore M3

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP