Baada ya kutomba KIMAISHA watu kadhaa kiwingi kutoka MABARA yote DUNIANI!:-(
>> Saturday, June 02, 2012
DUNIANI hakuna KIPYA yani,....
... ila labda MAISHANI kwako tu ndio kuna KIPYA,...
..... na LABDA katika kutomba MAISHA KIUPYA ,...
...ni kwa kuwa tu KINAMNA unastukia tu KITU kipya SAA HIYO au SAA HII ambacho wala sio KIPYA!:-(
Swali:
- Kwani Kimaisha kuna BINADAMU nguli hata kwa afikiriaye KIMAISHA KATOMBA sana?
Ndio ...
.... lakini ,....
kuna WATOMBWAO ingawa mie na fikiria hilo ni jambo LAKUFIKIRIKA TU!:-(
Swali:
- AU?
Ndio,...
... hili ni WAZO tu MKUU!:-(
Hebu tu Femi KUTI na MOS DEF waingilie kati kwa- DO UR BEST
Au tu MOS Def, Nate DOGG, na PHAROAHE MONCH wazime tu kwa-OOH NO!
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
nukuu!
"Baada ya kutomba KIMAISHA watu kadhaa kiwingi kutoka MABARA yote DUNIANI!:-("...baada ya kusoma hapa nikabadi najiuliza kwa sauti kweli ni kweli?...
Post a Comment