Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ashki ya kukorofisha kitu ki-MTU!

>> Tuesday, June 05, 2012

Na katika kukorofisha KITU,...
.... labda ndicho afanyacho MTU katika kila kitu!

Swali:
  • SI chatuliaga kitu kama HAKIGUSWI na kugusa kitu chochote labda kiaina NDIO ni uchokozi tu huo wa KITU kilichotulia!
  • Si chochote kisipoguswa hata kwa mawazo huwa KIMETULIA?


Ndio,...
.... labda weye ni MCHOKOZI aisee!


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu SEAL apindishe kwa- CRAZY

Au azime tu kwa- Kiss from a ROSE

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:30 am  

Kama ndiyo hivyo mie sisemi sana leo isipokuwa haya bwana:-)

Simon Kitururu 7:45 am  

Mmmmmmmh!@KADALA Yasinta Ngonyani!:-(

Yasinta Ngonyani 7:51 am  

Vipi KDODA? nimekosea?

Simon Kitururu 7:55 am  

Hukoseagi aisee!@Kadala

ray njau 6:33 pm  

@Simon;
Asante kwa falsafa yako na utajiri uliohanikizwa na kipaji maridhawa katika Kiswahili mazungumzo.Hapa ni vema kutulia mawazoni ili upate ujumbe uliopo nyuma ya pazia au chini ya mkeka.
-------------------------------------
"Mbuzi kala mkeka wadau mtakalia nini hapa kijiweni kwa Simeoni"?
-------------------------------------

Yasinta Ngonyani 7:36 pm  

Nimeipenda picha yako umeonekana upo mawazoni au ndo kutulia tu:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP