Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Pamoja na PUNYETO kuaminika kama kichocheo cha SHUGHULI!

>> Wednesday, June 06, 2012

PUNYETO labda ni UBINAFSI,...
.... hata kama kwa apigaye punyeto,...
.... KWAKE anaamini afanyacho sio UNYIMI kimaisha kwa kuwa kilicholeta UBINAFSI kipunyeto hiyo  ni kuwa ni kweli AMENYIMWA!:-(!

Swali:
  • AU?


Ndio,...
.... PUNYETO ni ya KIBINADAMU ,....
....na   ya kimaisha KIBINADAMU bado labda  ni ya KIPUNYETO tu,....
... na  PUNYETO labda huruka tu SHUGHULI yenyewe KAMILI,...
.... hata kama MTU hakujitakia ,...
....na kihitajikacho ili SHUGHULI yenyewe ifanywe,....
.....labda  HUHITAJIKA  wa MTU   ushirikiano na WENGINE ili GURUDUMU la maendeleo KIMAISHA lifanye KIELEWEKE sio KIPUNYETO tu,...
... bali KIELEWEKE kikitu KAMILI!:-(


Swali:
  • AU?

Ndio,...
.... ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Nakutonielewa  haki ya nani tena ni RUKSA!


Hebu SCARFACE ajaribu kubadili kwa-SMILE

Au tu tena Scarface azime kwa- I Seen A Man Die

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:25 pm  

mmmmhhh:-( hakika umetonyesha kidonda...

Rachel siwa Isaac 9:14 pm  

Duuuhhh!!!!!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 11:14 pm  

Yani....naenda kutafuta juisi ya ukwaju kwanza ili nipate miakili kipunyeto zaidi :-)

Anonymous 12:19 pm  

LOL, Mtakatifu nawe mambo ya punyeto tena...DUH!

Nilipitia nichangamke mawazo ninatoka nimchanganyikiwa...

Simon Kitururu 10:01 pm  

@Wote: Mmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP