Katika KINAGAUBAGA.......
>> Saturday, June 02, 2012
.....nanilii labda inabidi INANILIWE,...
... ili KINANILII nanihii ijisikie ipo na NANILII na imetimiza KINANILII,...
.... au ijisikie tu KINANILII na labda KIHIVYO wala haihitaji KUNANILIWA!Swali:
- SI unajua kutoelewa RUKSA?
Ndio ki-KINAGAUBAGA,...
.... labda inabidi UCHIMBE hata kama ni ki-HOJA tu!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu Talib KWELI arudishe- The BLAST
Au tu huyu huyu Talib Kweli azime kwa -MOVE Somethin'
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kaazi kwelikweli!!!
Post a Comment