Ndio... NAHUSUDU aisee!
>> Friday, June 01, 2012
Na katika KUHUSUDU...
..... kuna mengi na sio tu YALE ya UHABA wa ufanyao kwa kuwa tu eti inanoga zaidi kwa kuwa ETI ni ILIYO HABA maishani ,...
..... na kwa hilo tu imewezeshwa kuonekana spesho,...
.... kitu kifanyacho HICHO kuwa moja ya kilengwacho KIRAHISI na AHUDUDUYE hata kama sio WEWE!:-(..... na kwa hilo tu imewezeshwa kuonekana spesho,...
Swali:
- AU?
Na katika KUHUSUDU,...
... matege ni usafiri mzuri tu wa KIPENZI na PENGO ni MWANYA.:-(
Swali:
- AU?
Ndio,...
.... UKIHUSUDU,...
.... wala uchi UNUKAO hata yale MACHAFU ya JAMII labda sio tatizo,...
...kama tu VILE isemekanavyo isivyo kuwa TATIZO kitatizo katika HATA ya UGALI usioiva kwa nyama MBICHI ikiwa tu ni yaliyopikwa na UMHUSUDUYE!:-(Swali:
- AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
IJUMAA na WIKIENDI NJEMA NGULI aisee!
Hebu KOFFI OLOMIDE arudie TCHA TCHO du Sorcier
Au tu Pepe Kalle azime kwa -MOYIBI
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
:-(! Ijumaa njema nawe pia Kadoda!
Post a Comment