Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ni rahisi sana KUHUKUMU mtu MWINGINE. Lakini....

>> Saturday, June 02, 2012

...wakati ya MWINGINE yanachekesha ,....
.... au tu yanahukumiwa KIRAHISI kuwa ni yenye DHAMBI,...
..... labda cheki kifanyacho MTU ajisikie yuko SAHIHI ni nini .:-(

Swali:
  • Si kunyooshea watu vidole ni rahisi kuliko kujistukia mwenyewe katika mapungufu yafanyayo UNANYOOSHEA mtu KIDOLE?
Na eti kuna wasingiziao DINI zao ndio ziletao USAHIHI wao,...
.... ingawa wakati wananyooshea MTU kidole huwa wameruka tu vipengele hata kwenye dini zao ambavyo hawako sahihi ili tu wajisikie wako SAHIHI!:-(


Swali:
  • AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu DENNIS BROWN aingilie kati tena kwa -JUDGE NOT

Au tu DENNIS BROWN aue TU  kwa-CRAZY LIST
Halafu tu Gregory Isaacs ndio azime kwa-Innercity LADY

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:12 pm  

Hili ni tatizo la watu wengi sana kumlaumu mwingine bila hata kusikiliza ni nini kisa chake.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP