Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hebu twende INDIA!

>> Friday, June 15, 2012

Swali:

  • Kwani unafikiri TANZANIA hali ikoje kuhusu uthamani wa mtoto wa kike ukilinganisha na WAKIUME?

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:14 am  

Thamani ya mtoto....huu ni ujinga tu. Mtoto ni mtoto tu. Hebu jaribu kufikiri kuwe na watoto wa kiume tu je kutakuwa na mwongezeko hapa kweli?
Hali hii ipo Tanzania katika sehemu fulani fulani ila sijawahi kusikia wanawaua watoto wa kika wakizaliwa au kabla ya kuzaliwa. Hapa inakuwa tu kwamba eti mtoto wa kike hana thamni kwa vile hataendeleza ukoo.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP