Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

YAH:..``Najiheshimu ndio maana HUWA natukana KIMOYOMOYO tu! ´´

>> Saturday, June 09, 2012

Ila heshima za wenyeheshima HADHARANI labda zinabebeshwa misifa ya bure tu,....
.....kwa kuwa MUNGU anajua hata yanayofichwa HADHARANI kwa kuwa ni matusi ya WAHESHIMIWA yafanyikayo hata kama ni kwa KIMOYOMOYO tu!:-(


Swali:
  • AU?
  • Na si ukichunguza mioyo ya watu WAHESHIMIWAO hadharani unaweza kukutana na ukurutu tu?
  • Na si inasemekana hata watoto wengi wajulikanao kama ni watoto wa MITAANI nao NASIKIA  ni matunda ya waheshimiwa  ya yale yasiyonaheshima yasiyojulikana na wanaowaheshimu HADHARANI?Ndio,...
..... lakini labda tusisahau KUKUMBUKA kuwa,....
....  hata kama dhambi haifanyiki hadharani,...
... bado ni DHAMBI tu!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA ,...
...na wala USIKONDE!

Jumamosi NJEMA aisee!
Hebu James Brown aingilie kwa - Get On the Good Foot


 


Lenny Kravits aingilie....Papa's Got A Brand New Bag

 Prince na Lenny Kravitz waongezee-American Woman

James Brown aongezee-I am Black and Proud
Halafu Eddy Murphy tena amtanie James Brown...

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:45 am  

Bonge la wazo kwa jumamosi hii ni kweli dhambi ni dhambi hata kama tu unawaza bila kufanya...Jumamosi njema kaka Mupenzi!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP