Kama ETI una...NANILII hata kama SIO ...kinaniliwacho ni UCHI WA SHENZi upengao kamasi KIKUNANILII....
>> Wednesday, June 27, 2012
......LABDA .....
....kumbuka TU kuwa hata bila KUBAHATISHA naniliii,....
....kumbuka TU kuwa hata bila KUBAHATISHA naniliii,....
....kuna ananiliwaye KINANILII.....
... hata kama kivyako kinaniliwacho ni KORANI na sio BIBLIA,...
..kwa kuwa ni MBUDHISTI na wabuzisti wamekaa KIMYA kisensa au hata KIKITEKENYEO,....
......na hawachekelei KANYAU!:-(
Swali:
- Si kunauwezekano HUNIELEWI?
- Unataka kubisha au UNABISHA?
- Si unakumbuka CHUPI nyeupe sio ya KIJANI?
Na katika ajiaminiye ana-NANILII,...
... labda KUNANILIWA kuna mionjo ya ASIYEgunaye kwa kuwa kuna AGUNISHWAYE ,...
.... na eti kisa cha apigaye KELELE kwenye mambo hata mENGINE kwa kuwa TU eti bado mambo ...
.....MPAKA hayo AMBAYO labda KIUKWELI yako zaidi KIUDAKU hata MAKANISANI na MISIKITINI ,....
...ingawa LABDA na bado hata KIKIVITENDO ni kuliko BAJETI za Ki RAISI KIKWETE kwa WATANZANIA hata ambao ni AMBAO ni Rais ni KIKWETE hata kwa wa ZANZIBARI ambao WATANGANYIKA hawawataki ,....
.. NA inabakia ni yasemekanayo tu MITANDAONI ,...
...ingawa kuna LABDA anayefikiri
...na AFIKIRIACHO anayefikiri,...
...LABDA kuna-NANILII,....
.... na sio tu kuna KUNANILIWA.:-(
Ni wazo tu hili aisee NGULI!
Nakutakia siku KIBONGE aisee!
DUH! Yani umenisoma hii mpaka huku?:-(
Hebu Barry WHITE avue watundu chupi basi ,....
Ajaribu akiwa na PAVAROTTI katika- My everything
Au tu JAMES BROWN ,....
....akatizie denge na kuzima na huyuhuyu PAVAROTTI ,....
....katika kidude-ITs' panya na NYAU's world
Yeah!
Na nilipitia mpaka huku AISEE,...
.... hasa kama unajua ULAYA ya KASKAZINI najua utajua huku ni wapi!:-(
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
mmmhhh! nawe uwe na BONGE lA sIKu..AISEEE!!!
Nanihino, nanihii, kinaniwacho, kinini sijui...mkuu msamiati wako mpana. Siku njema
Post a Comment