Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati MLAFI huwa hasubirii HUKUMU ya kuwa yeye MLAFI!

>> Tuesday, June 19, 2012

Kihukumu,...
... kuna wengi hatusubiri KUHUKUMIWA!

Swali:
  • Lakini si unakumbuka labda kama weye ni BINADAMU labda  kuhukumu sio kazi yako?

Ndio,...
... twahukumu ,...
... ingawa kosa la AHUKUMIYE ni kuwa ili uhukumu wahitaji KIPIMO ,....
.... kipimo ambacho labda ni tofauti kwa kila MTU  kitu ambacho KIBINADAMU huweza kuwa haiwezekani kufanikiwa kuwa na KIPIMO sahihi ya ya MTU mwingine.

Swali:
  • SI wengine labda wanatumbo au SHUGHULI NGUMU kiukubwa kuliko weye kitu kifanyacho kwako iliushibe KWAKO  kibakuli kinatosha ila KWA wao ni SINIA kipimo sahihi?
  • Lakini si yasemekana huwa hukumu nyingine  ndio changamsha bongo kuwa mapenzi yamezidi mpka yamegeuka UMALAYA?


Ndio,....
....labda HUKUMU uhukumiwe,...
......na kama unabusara kwepa KUHUKUMU wakati yako yenyewe yanasubiri HUKUMU!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Lil' Vicious abadili kwa kurudia -NIKA
Au tu Lil' Vicious azime kwa - The Glock

 

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:36 pm  

AHSANTE KWA USHAURI MTAKATIFU!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP