Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Zaidi!

>> Thursday, June 07, 2012

Kifanyacho kuwe na la ZAIDI,....
.... labda wala sio cha ZAIDI kama ifikiriwavyo.

Swali :
  • AU?
  • SI labda asilimia kubwa ya lililozaidi ni MTAZAMO tu wa mtu?

Na kuna kianzio ambacho labda ni Mtazamo tu wa jinsi mtu afikiavyo,...
... kabla ya kitu kuwa kina la  ZAIDI!

Ni wazo tu hili Mheshimiwa!

Hebu Choc Quib Town warudie - El Bombo

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:01 pm  

Bonge la wazo najaribu kuwaza kama uwazavyo lakini nadhani kila mtu na kipaji chake...Ahsante:-) maana ukipita hapa kila mara unatoka na mengiiiiiiiii

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP