Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jana JIKONI!

>> Sunday, June 03, 2012Ndio,...
...bado NIPO na huwa NAPIKA aisee!:-(Au hebu tu,....
..... FEMi KUTI na MOS DEF waingilie tena kwa-DO Ur BEST
Au tu hebu Curtis Mayfield ajaribu kubadili kwa-SUPER FLY

Aongezee-Move on UP


Halafu TU  labda azime tu kwa pini-Pusherman

9 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:38 pm  

Kadoda! Nimependa mapishi yako na nimetamani kama ningekuwa hapa na kula yam yam. Mkeo hapati taabu safi sana kusaidiana ..:-)

Simon Kitururu 3:20 pm  

Kusaidiana si ndio siri ya ndoa hata kingono? Ila kama umelenga kupika tu ndio swla la kusaidiana.... na hilo la MKE..... wakati weye mwenyewe ushawahiwa..... MMMMMH!:-( @Kadala

Yasinta Ngonyani 3:32 pm  

nukuu "wakati weye mwenyewe ushawahiwa..... MMMMMH!:-( @Kadala" mwisho wa nukuu...Kadoda umenen KWELI NDOA NI KUSAIDIANA..NATAMANI... Mmmmm naacha

Kibogoji 4:40 pm  

www.kibogoji.com has nominated your blog for the sunshine blogger award. Cheers!!

Rachel siwa Isaac 9:07 pm  

Asante kaka wa mimi Kdoda!!!mwanaume na jiko!!!!!haahhhahah kadala na kadoda maneno yenu yana msaada tosha!!!!
Wenu Kachiki!!!!1

Yasinta Ngonyani 9:39 pm  

k,k,k..kadoda, kachiki na kadala mmmhhhh..halafu unajua umependeza kweli na hiyo eplon yako..halafu kitu kingine sijawahui kukuona umevaa t-shirt au niseme sijawahi kukuona bila suti:-)

nyahbingi worrior. 2:57 pm  

Mkuu,napitia Historia,Mila na Desturi zetu kwanza ili nirudi tena kutoa maoni yangu.

Simon Kitururu 3:13 pm  

@Mkuu wa Kibogoji: Thanx Mate!

@Kadala: Mmmmh!

@Kachiki: :-)

@Rasta Luihamu:Pitia histori Mkuu! Ni nzuri kwa afya ya kujijua!

Yasinta Ngonyani 8:02 pm  

Natamani kuja kula huo msosi sijui bado upo..:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP