Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

RATIBA YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU WILLIAM FOFO MAPUNDA

>> Wednesday, June 20, 2012 WILLIAM FOFO MAPUNDA (FOFO)

MWILI WA MAREHEMU WILLIAM FOFO MAPUNDA UTAAGWA RASMI LEO TAREHE 20/06/2012 NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU TAYARI KWA KUPELEKWA NYUMBANI KWAO MANDA LUDEWA KWA MAZISHI, AMBAYO YATAFANYIKA KESHO TAREHE 21/06/2012 SIKU YA ALHAMISI.
RATIBA:


SAA 5.00 ASUBUHI:  -   MWILI KUWASILI NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU


SAA 6.00 - 7.00 MCHANA:          -    CHAKULA KWA WOTE


SAA 7.00 - 8.30 MCHANA:          -     SALAMU ZA MWISHO (LAST RESPECT)


SAA 8.30 - 9.00 ALASIRI:            -     MWILI KUFIKA KANISANI (KANISA LA ANGLIKANA TABATA KISUKULU KARIBU NA BAR YA MAZDA)


SAA 9.00 - 10.30 JIONI:               -     IBADA NA KUAGA KWA WALE AMBAO WATAKUWA WAMECHELEWA NYUMBANI


SAA 10.30 JIONI:   -  KUANZA SAFARI YA KWENDA MANDA LUDEWA


WILLIAM FOFO MAPUNDA ALIFARIKI GAFLA USIKU WA KUAMKIA JANA NYUMBANI KWAKE TABATA KISUKULU, KWA TAARIFA TULIZOZIPATA KUTOKA KWA MADAKTARI WA HOSPITALI YA AMANA ILALA, KIFO CHAKE KIMESABABISHWA NA KUPATWA NA BLOOD PRESSURE GAFLA. 


KWA TAARIFA YOYOTE PIGA NAMBA: 0713-254553

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP