Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TAMUTAMU za kuvuja kwa PAKACHA!

>> Friday, June 22, 2012

Kuvuja labda sio TATIZO,...
.... kwa kuwa kuna MPAKA yavujishwayo kwa MAKUSUDI!

Swali:
  • SI unakumbuka kila kitu kina pande mbili na WAKATI unaumia labda MAUMIVU YAKO  hiyo ni starehe na kiburudisho kwa MWINGINE?
  • Kwani unafikiri kila pakacha livujalo huhitaji KIRAKA kwa mitazamo ya kila mtu?

Ndio,...
... PAKACHA likivuja,...
... labda ni unafuu kwa KULI mbega ZIGO,...
...hatakama ni hasara kwa MCHUUZI!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA!Hebu tena Onyeka Onwenu arudie - Ekwe

 


Olivier N'Goma aingilie kati kwa -BanéAongezee -LiliHalafu Monique Seka azime tena kwa-Missounwa

 


Ndio nilikuwepo JIKONI tena.... :-(1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:38 pm  

nakuja kula maana naona hapo patamu kweli...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP