Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Saa nyingine ,MUDA uleule!

>> Friday, June 29, 2012

Na KIMUDA,...
... labda kila MTU yuko DAKIKA mbele kitofauti hata kama ni JIONI ileile.

Swali:

  • SI ingekuwa wote tunaishi sekunde ileile faraja HATA ya kifo na sio tu YA  hamu za  FARAJA KIFARAGHA ingetokea kwa wote muda uleule MPAKA kisekunde?
  • Kwani sekunde hiyohiyo hata kama ni tamu unafikiri unasikilizia utamu kama akupaye tamutamu?

Ndio,...
... labda SEKUNDE yangu na yako HAVIFANANI,..
... kwahiyo ISHI aisee kivyako yani!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu turudi ZIMBABWE ili Thomas Mapfumo arudie-Moyo WanguAu aajaribu kuzima  kwa-NYOKA MUSANGO

 


Sijui kwanini ila hebu Bono aingize-Sweetest thingHalafu ni SADE ndio azime kwa -SWEETEST TABOO

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:28 am  

nukuu "dio,...
... labda SEKUNDE yangu na yako HAVIFANANI,..

... kwahiyo ISHI aisee kivyako yani!:-(" mwisho wa nukuu... mmmmhh bara labda hivyo ila....

Simon Kitururu 12:35 am  

Sina uhakika kama nimekuelewa katika komenti yako nguli katika kipengele:``mmmmhh bara labda hivyo ila....''' @Kadala

Yasinta Ngonyani 12:38 am  

hata mimi sina uhakika nini nilitaka kusema ...nahisi nilitaka kusema nakaa kimya au nilitaka kusema ila sijui kama nimekuelewa @Kadoda..

Simon Kitururu 12:45 am  

Mmmh!@Kadala

Yasinta Ngonyani 12:47 am  

Vipi sasa mbona unaguna Kadoda? sijaeleweka?

Simon Kitururu 12:48 am  

Sina uhakika Kadala!

Yasinta Ngonyani 12:52 am  

uhakika na nini Kadoda? "Saa nyingine, MUDA uleule" nimependa hii:-)

emu-three 10:34 am  

Oh. sijui niseme nini,ngojanifikirie kwanza!

Ambiere,tupo pamoja

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP