WAKATI na NYEGE......!:-(
>> Wednesday, June 27, 2012
Na labda kinyege zako ,...
... waweza kunisukumizia mpaka UKRISTO!:-(
Swali:
- Si inasemekana wenye nyege zao huwa wana mchezo wa kufikiria kila MTU ana nyege kama zao?
Ndio,..
... mambo MENGINE labda ni yako tu AISEE,...
... na siye wengine labda .... ``AKU Babu weee UTUKOME´´ wala hatuhusiki hata na unukavyo MDOMO au hata kule chini KIJASHOJASHO!Swali:
- Unabisha?
- Si ushawahi kupata nyege hata kama sio ya KITUMBUA?
Ndio,...
.... nyege nyingine ni NYEGE MSHINDO,.....
... ingawa labda MSHINDO wenyewe bwelelel!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA,...
.... na wala USIKONDE kama tu hausigeli wa nyumba ya JIRANI!
Hebu ghafla Tshala Muana apenyeze-Lekela Muadi
Gregory ajaribu kuharibu kwa -The BORDER
Aongezee ncha kisimi kwa-Out Deh
Wakati anataka ku-Substitute
Ajaribu kuingilia tena mlango wa mbele kwa-FRONT DOOR
Halafu ajaribu kuzima kwa-Not the way
Au tu Michael Jackson ndiye azime kwa kudansi tu...
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment