Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa mara nyingi hatuangalii tena UKWELI watudhaniacho NI KWELI TUPU!

>> Tuesday, February 01, 2011

Tukiangalia tena KIDHANIWACHO NI KWELI,....
.... twaweza bado kustukia bado kina mengi yachukuliwayo tu kama ni UKWELI,...

.... ingawa ukweli wake NI WAKUDHANIWA TU.:-(


Na kwa kuwa wengi wetu hatuna muda wakuangaika na TUFIKIRIAVYO TWAVIJUA TAYARI,.....
.... tuko tayari kuendelea kuishi na KWELI za kudhaniwa tu!:-(

Swali:
  • Si kuna UWEZEKANO ambayo  TUNAAMINI  tayari ni KWELI hayo tumeshayafanya ni KWELI na ni vigumu kustukia UONGO wake?


Ndio,....
.... labda  kweli LUKUKI ni matokeo tu ya imani zilizojengeka kabla,....
.... zipofuazo uwezo wa kustukia  labda WALA sio kweli!:-(NAWAZA tu hapa MHESHIMIWA!:-(

Hebu Cheb Khaled anisaidie tena kubadili wazo kwa - Didi


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 11:17 am  

Dunia yangu inanitizama hivi, nitaitafsiri hivyo.

SIMON KITURURU 5:10 pm  

@Mkuu Mcharia: TAFSIRI kiboko kwa kuwa naamini tafsiri ndio moja ya misingi ya KWELI za WATU

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP