Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Twatambulisha WIMBO MPYA kutoka - UMABE Arts COMPANY!

>> Thursday, February 03, 2011




NDUGU  ,jamaa  na MARAFIKI ,...
.....na wapenda sanaa  WOTE wa BONGO na DUNIA nzima!


Natambulisha WIMBO MPYA kutoka kwa msanii Victor Mrisho  uitwao -JIACHIE




Dear all our Valued Fans !

We are pleased to introduce to you our New track called -Jiachie  


Artist:Victor Mrisho
Producer: Victor (Kita)
Studio: Rama Records

As we are approaching  Valentine's DAY,.....
....Enjoy the song !


On Behalf of Umabe Arts Company
-Fredy Njeje
Project and Design Manager.



3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 1:41 pm  

Sijui kwa nini ila sijauelewa huu wimbo wa Jiachie. Halafu pia naomna kama vyombo viko juu zaidi ya sauti ya muimbaji...

Maoni yangu.

Yasinta Ngonyani 2:09 pm  

Ni kweli sauti na mapigo yalikuwa hayaendani. Nahisi anaimba ni jinsi gani anavyompenda kipezi chake na kumkaribisha kwake....lol

emu-three 3:54 pm  

Tatizo kubwa hapa kwetu ni kubana matumizi, kwani nafikiri kila nyanja ilitakuwa kuwe na mtaalamu wake..nafikiri mnanielewa...lakini hapa producer, mwandishi, muimbaji ...na nani vile ni huyohuyo...nani ataweza kuboresha sehemu hii na ile kwa wakati mmoa! Sijui, nafikiri ni `umasikini wetu' ila vipaji vipo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP