Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati awazaye labda hajistukii kila AKIWAZA!:-(!

>> Sunday, May 08, 2011

Inawezekana ukistuka wakati unahisi unaaidia ya angalau kilichokustua ni USHUZI na sio BOMU ,....
...kuna uwezekano UNAWAZA na unajua UWAZACHO ndio maana bado umestukia kitu ni USHUZI na wala sio BOMU ,...
... na  LABD HIYO ndio siri yako ya   uwezo wako wa KUTENGANISHA vitu USHUZI na mlipuko wa BOMU !:-(

Ila cha kusikitisha ni kwamba,...
...inawezekana pia ukistuka  wakati HUNAAIDIA kilichokustua ni USHUZI , bomu au tu hata   PANCHA,...
.... kuna uwezekano bado UNAWAZA ingawa huna uhakika kuwa UNAWAZA na kutambua UWAZACHO:-(



Swali:
  • SI unajua si kila wakati wakati mtu ANAWAZA huwa anajistukia kuwa ANAWAZA?
  • Na si inawezekana  MTU huwaza kila wakati ingawa KUNA wafikiriao  wanaweza kustukia kila WAWAZAPO?
  • Unafikiri KUWAZA na KUFIKIRI ni kitu hicho hicho?

Ndio,...
...hili NIWAZO TU hata kama kwa mwingine NI LA KIJINGA,..
...ewe BUHERI WA AFYA Mheshimiwa!:-(


Na tubadili WAZO  ikibidi kwa kupewa kibao MAMALAYA kutoka kwa -FIRE EMPRESS



Fire Empress atanue ili iingie-Bend OVER



Fire Empress azibe tu kwa kigunzi kwa - No Money No Wuk



Au tu LUTA atulize tu tena KWA mshawasha  - TIGHT SPOT

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP