Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ingawa kwa mwenye mimba KUKAA kimya bado hakuiondoi MIMBA!

>> Wednesday, May 25, 2011

Kukaa kimya kuhusu JAMBO,...
..... inasemekana huwa kuna mchezo wa kulikuza hilo JAMBO!


Swali:
  • SI eti kwa kukaa kimya baada ya kuhisi harufu ya ushuzi huwa kunakuza harufu ya ushuzi kwa mnusaji?

Ila labda kumbuka tu,...
.... wakati unataka kurahisisha jambo LIKUSUMBUALO kwa kuliongea kwa MTU,...
.... jaribu kuwa makini ni nani unamwambia JAMBO HILO katika kuongelea kwako hilo kitu,...
.....kwa kuwa sio kila MTU yuko upande wako KIUAHUENI!:-(

Tunakumbushana tu ,..
... na NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!:-(




Hebu Mango Groove waanzishe tena kwa -Hellfire





Kwela Tebza waendeleze kwa - Nkamohele




Kwela Tebza wakija na Mxo and Tuks katika - Better Days

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:22 pm  

Simon usemavyo ni kweli watu tu ndumila kuwili. Unaweza ukadhani ni rafiki yako kumbe.....

Simon Kitururu 11:11 am  

@Yasinta: Ndio Hapoo!:-(

Goodman Manyanya Phiri 5:22 am  

@Yasinta
@Simon

Mimi nawapinga nyinyi wawili. Ukiongea jambo kwa wale tu wanaopenda kukukusikiliza UTAKUWA MJINGA.


Kama unao uhakika juu ya jambo hilo, unaongopa nini kumpa adui yako akusikilize?


Mukikaa kuongea mambo kindugu, kirafiki au kikabila basi mmekwenda na maji! Wazo kuimarika lazima lipate wenye kulikosoa na marafiki zako wavivu na waoga sana kukukosoa!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP