Hata KAMA ni MWANAFUNZI wa ya chini ya KITOVU kuna NINI na utakalo ni KUMZIDI MWALIMU kujua ,...
>> Thursday, May 05, 2011
... LABDA wakati unakimbia DARASA LAKE MWALIMU ,.....
.....usikimbie kustukia HAPO DARASANI kwake ULIPOKIMBIA na kuonekana baadhi kuwa ni MJANJA,...
.....alikuwa anafundisha nini!:-(Swali:
- Kumkimbia MWALIMU na kuyakimbia afundishayo MWALIMU si kunatofauti kitu kiwezacho kufanya kama mwerevu unaweza mpaka ukamkumbatia MWALIMU na KUWA NAYE PALEPALE darasani huku LAKINI umeshaamua afundishayo mwalimu ni ya kijinga na KUTAHIRIWA kisimi chako mwanana akufundishako MWALIMU umuhimu wake - kwako ng'ooo KUMKUBALIA?
- SI unajua siri kubwa ya KUMSHINDA adui ni KUMJUA ADUI na mbinu zake hasa katika lile swala la ANAJUA NINI?
- Na si unajua siri ya MAFANIKIO yenye uhakika zaidi ya KUKUNA kipele inahitaji ujue KIPELE kiko wapi?
Kuna wadhaniao MWANAFUNZI mjanja ni YULE akimbiaye WALIMU,...
....lakini labda JUA kwanza siri ya MWALIMU kama nia ni kumzidi AKILI mwalimu!
Swali kimarudio:
- SI MWALIMU na yale YA MWALIMU afundishayo labda KUNATOFAUTI?
Kwa bahati mbaya,...
.... inasemekana ukijua SIRI ya UJUAJI wa mwalimu,....
.... pamoja na kuwa kuna wadaiwao huzaliwa wanajua zaidi kuliko wengine au tu wale wenye BLA BLA BLA za kuwa wao wape KITABU TU watajifunza mwenyewe,.........usishangae kwa kujua YOTE HAYO unawezafikia hitimisho ,...
...UNAHITAJI MWALIMU ambaye moja ya siri yake,...
.....ni ILE katika KUJUA KWAKE anasoma VITABU gani na kwa STAILI gani!:-(
NI wazo tu hili MKUU!
Hebu Bilal aingilie kati kwa -Get Out of My Hair
Bilal aongezee nyundo- You're All I Need
Amtekenye -Sally
Au tu Bilal amalizie tu kwa-Fast Lane
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Sawa mzee wa katuni.
@Rasta Mcharia: Tuko Pamoja!
Post a Comment