Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bill Gates naye arudia SIASA za NYERERE za KILIMO ni UTI wa MGONGO!

>> Thursday, May 26, 2011

Msikilize.....
....akiongelea  umuhimu wa KILIMO ....


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 7:24 pm  

Tena kwa jembe la mkono duuhhh! kaka namimi natafuta shamba huko kwenu yanapatikana? @kaka Kitururu unajua kulima?.

Yasinta Ngonyani 10:50 pm  

ha ha haaaaaa! kama kaka kitururu anajua kulima basi ....Ok Unajua kulima?

Simon Kitururu 11:07 am  

@Rachel na Yasinta: Nikishakula ugali wangu asubuhi nalima trekta halioni ndani!:-)


Mashamba Morogoro kuna maeneo bado yanapatikana nasikia!Si unajua MOROGORO ni kubwa kieneo kuliko Rwanda na Burundi kwa pamoja?

Rachel Siwa 9:09 pm  

kwikwikwi kumbe unajua kulima kaka wa mimi ngoja da Yasinta aje asikie mwenyewe!!alisema eti kuna kabinti kanataka mchumba lakini anaejua kulima sana!naona sasa kapatikana, ngoja nimwite da Yantaaaaaaaaaaaaaweeeee njooo huku!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP