Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwani ni nani anamuogopa MUNGU?

>> Wednesday, May 04, 2011

Angalia tu yanayo kuzunguka,....
..... hata kabla hujajichunguza wewe MWENYEWE,...
.... halafu jiulize tena:
  • Kwani ni nani anamuogopa MUNGU?
  • Na si kunauwezekano MUNGU huwa KWA KAWAIDA hafikiriwi katika yale ya KIBINADAMU ambayo BINADAMU angehitaji wakati huo kumuogopa MUNGU  ?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala USIKONDE!


Hebu tu Ray Charles aingilie kati wazo kwa - Song For You


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP