Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukichunguza ni kwanini waliokuwa wanamfuata BIN LADEN walikuwa WANAJIUA wakati OSAMA BIN LADEN mwenyewe anajificha kwa kuwa hataki KUFA,....

>> Monday, May 23, 2011

.... unaweza kugundua kuwa BINADAMU wanamchezo  wakutowaza yao WENYEWE pia,...
.... na wafanyacho kirahisi ni kufanyia kazi MAWAZO ya WENGINE!:-(

Swali:
  • Unauhakika ufanyayo yanatokana na MAWAZO YAKO?
  • Na chakutisha zaidi si inawezekana kuna watu hawaamini YAO na huamini tu wasemayo WENGINE hata tu kwa kisingizio kuwa wanamajina makubwa kama PAPA, Askofu, SHEIKH, Mganga wa kienyeji, Jambazi lilito bobea au tu BONGE la MALAYA?

Ndio,...
.... kwa wengi vitu ki-BIG PICTURE/ KIPICHA KUBWA mara nyingi sio mawazo yao,...
.... bali  ni wazo LA WAMSIKILIZAYE na kumuamini  hata kama asemayo na ukichunguza afanyayo huwa havifanani,...
.... kwa hiyo labda ni muhimu kukumbuka KUWAZA kivyako  kuhusu MAWAZO ya WENGINE hasa ukizingatia,....
..... duniani  BINADAMU kuingizana MKENGE imo pia !:-(

Na hili ni WAZO tu MKUU!:-(


Hebu The Roots watulize wazo kwa-Water



The Roots wadai - Stay Cool



Gregory Isaacs ahamishe hoja kwelekea mahali pengine kwa mirindimo mingine katika-Tenement Yard




Au tu Gregory Isaacs adai tu kuwa - Confirm Reservation



Sijui kwanini lakini ngojea tu Gregory Isaacs aongezee dozi ya - Hot Stepper

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP