Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Vusi Mahlasela! DUH!

>> Sunday, May 29, 2011


Mie sisemi ,..
....ila jamaa kanitesa leo YA JANA ya juzi yake:-(


Hebu aanzishe kwa -When You Come Back



Halafu-Thula Mama




Adinye-Kuyobanjani Na



Atekenye nanihino-Woza




Atoneshe zaidi-Guiding Star



Ndio ,...
... ukicheki picha ZIFUATAZO utajua kuwa Andrew Ashimba kutoka BONGO / Tanzania aliwakilisha sana KENYE SIKU YANGU hasa kwa nyundo hii inikunayo iitwayo -WEKA MAMBO



Ndio,...
...BADO nipo!:-(



































































3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 8:06 pm  

Asante sana kwa Andrew Ashimba. Nilikuwa simjui kabisa. Sauti yake hatari sana. Utungi wake wakuzingua kama vile walivyokuwa wanafanya marehemu Fela Kuti wa Nigeria na Jabu Khanyile (Afrika Kusini).

Akiendelea namna hii atawapita hata hao wawili.

Tunakushukuru Simon kwa kutuletea wanamuziki wetu Afrika.

Kidumu kibaraza chako!

Simon Kitururu 12:49 am  

@Mkuu Goodman:Andrew Ashimba Mkali aisee!


MKUU asante pia kwa kutonichoka hapa kijiweni!

Yasinta Ngonyani 1:24 pm  

Hata mie nilikuwa simfahamu huyu...unafanya kazi kubwa sana kaka Simon kwa kuitangaza/kutangaza miziki tya kwetu Afrika endelea hivi hivi...Usengwili

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP