Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa MPENZI KITUMBUA!

>> Sunday, May 29, 2011

Madhumuni ya BARUA hii ,...
...ni kukujulisha nimeonja MAANDAZI na nikasikia TAMU!:-(



Na kwa kuwa nasikia DUNIANI kuna KEKI pia,..
... bila shaka na fikiri mazingira na bahati zikifanya  KEKI ijilenge sitaki kukuficha ,...
.... labda nayo nitaionja PIA.:-(

Na hivi MPENZI wangu KIPENZI kitumbua,...
.... hivi unajua kabla sijakuonja wewe niliwahi kuonja viazi na  MPAKA ukoko wa MAKANDE  kwa CHAI?

DUH!

Tutoke  kwenye wazo SHEZI  na kuja kwenye,....
SWALI:
  • Hivi MKUU unakumbuka kama haujifunzi KUJIFUNGISHA bikira kibreki - KUONJA vionjekavyo hapa DUNIANI huwa HAVIISHI?
  • Na si unakumbuka KUONJA ni staili tu moja wapo labda ya KULA? 
  • Na siunajua kama MAANDAZI kwako ni MATAMU haimaanishi huwezi kunogewa na MAPARACHICHI?

Ndio,...
...na  kwa bahati MBAYA nasikia ukizoea KUONJA ovyo,...
....ipo siku UTAONJA mpaka SUMU!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Na hebu DAARA J ambao ni hawa hapa,...



















....wakiwa nami siku fulani,...
.... waingilie kati tena kwa -Allah



Daara-J waje na Rokia Traore katika kurudia - Le cycle




Au tu Naughty By Nature wakatizie DENGE kwa -Feel me flow





Bado nipo,...:-(
























































0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP