Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jumatatu njema Mkuu!

>> Monday, May 23, 2011




Ni hilo tu Mkuu!


Hebu Tony Allen & Hypnotic Brass Ensemble warudie - Marcus Garvey



Au tu Tony Allen & Hypnotic Brass Ensemble warudie pia- Sankofa




Nipo.....




























5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:14 pm  

Jumatatu njema nawe! Hili pia ni kubwa unajua kwani leo ni jumatatu nyingie na ni 23/5/2011.

Simon Kitururu 2:43 pm  

@Yasinta: Asante mtu wangu!

Yasinta Ngonyani 5:56 pm  

Umetoka chicha kweli katika hizi picha ...halafu nimeona kama na wewe ushaanza kupata mvi:-) Hapo sijui ulikuwa wapi???

Simon Kitururu 5:58 pm  

@Yasinta: Namvi tokea utotoni! Na kwetu wote mimi na Kaka zangu wakubwa wa wili Davie na Kheri ni hivyo hivyo!:-(

Yasinta Ngonyani 7:09 pm  

KUMBE...BASI TUPO WENGI....Halafu nimesikia wenye mvi hivyo ni watu wa busara sana..lol

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP