Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo ni SIKU mpya hata kwa SHETANI!!

>> Wednesday, May 18, 2011

Anza UPYA,...
... kwa kuwa ushindi wa jana,...
.... kama tu kushindwa kwa jana ,...
.... labda hayo ni MAMBO ya jana hayo MKUU!:-(

Swali:
  • AU?
  • Kwani hujastukia kila siku mpya inayake MAPYA?
Ndio,...
.... mpaka  kieleweke ,...
... nakutakia vita NJEMA ya maisha MKUU,...
....na JUMATANO NJEMA !
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu twende GHANA ili Tumi Ebow Ansa aanzishe upya kwa-Owura



Tubakie hapa hapa GHANA ili REGGIE ZIPPY na NIGTHMARE warudie-Virgin



Kabla OSIBISA hawajamalizia tu kwa -MUSIC for GONG GONG

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:21 am  

Siku mpya na kila kitu kipya.... haya kaka Simon nawe nakutakia siku mpya pia Jumatano njema pia kwa kuwa ni jumatano mpya pia:-(

emu-three 1:35 pm  

Mkuu umenena vyema, kila siku moya ina mapya yake, kama ilivyo mpya, kwani jumatano ya leo sio sawa na iliyopita, na haitakuwa hivyo...

Cha muhimu ni kujua kuwa jana ilikuwa jana na leo ni leo na kesho itakuwa kesho. Shukurani mkuu TUPO PAMOJA DAIMA

SERENGETI GRILL 3:44 pm  

mhu!!!

EDNA 4:43 pm  

Mimi nakutakia siku njema...hope na ya kesho pia itakuwa nzuri pia.Sijui ya jana ilikuwaje,anyway sio muhimu sana coz isishapita zake.

Simon Kitururu 1:40 pm  

@Yasinta: Asante Mtu wangu!

@M3:Yani sentensi hiii``Cha muhimu ni kujua kuwa jana ilikuwa jana na leo ni leo na kesho itakuwa kesho.´´ imewekeza kabisa nukta kwenye wazo nililokuwa nawaza Mkuu.


@Mutu wangu wa Serengeti Grill Japan: Mhhh!

@Mrembo Edna:Asante sana mtu wangu na kweli jana ndo hivyo ilipita cha muhimu nikutosahau tu fundisho la ya jana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP