Kwa kuwa tuko WENGI ambao hatutaki TUNACHOHITAJI!
>> Monday, May 30, 2011
Na saa nyingine,...
... kihitajikacho ni UJI,...
..... ingawa TUTAKACHO ni chai!:-(
Na saa nyingine,...
.... KIHITAJIKACHO ni kujamba kwa kuwa katika KITENDAWILI hata UKIJUACHO umepewa huo MJI,....... ingawa tutakacho ni KUJIZUIA kuachia ushuzi kwa kuwa WAGENI sebuleni bado wako HAI.:-(
Swali:
- SI unajua UTAKACHO na UHITAJICHO labda havina UHUSIANO?
Ndio,...
...labda SASA HIVI unataka NYAMA,...
... ingawa uhitajicho ni MCHICHA aisee!:-(
Ni wazo tu hili MKUU!:-(
JUMATATU NJEMA Mheshimiwa!:-(
Na hebu TLC wadinye tu chapuchapu -Unpretty
TLC warudie - Waterfalls
AU tu Aaliyah akumbushie - Try Again
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment