Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ikiingia KIDOGO,....

>> Monday, May 02, 2011

... basi LABDA kuna pakuingiza HAPO!:-(





Swali:
  • Si unajua kama kuna KIDOGO labda huo ndio USHAHIDI hapo kuna  ya  ZAIDI na SANA?

Ndio,...
.... kidogo tu,...
... kwa awazaye hivyo,...
.... LABDA huo ni ushahidi anajua KIPIMO,...
....   na mpaka KILE  cha UKUBWA wa  tamu sana au chungu sana  LABDA anajua huyo!:-(



Ni wazo tu hili BINGWA!:-(
Na JUMATATU njema NJOMBA!


Hebu Samuel L. Jackson katika kubadili WAZO atekenye tena ndude iliyotuna ile-Black Snake Moan



 Samuel L. Jackson adinye pia- Stack-O-Lee



Au ngojea atukane tu kama wafikiriavyo wajifikiriao ni wataalamu wa lugha nzuri katika-Stack -O -Lee



AU tu tupindishe wazo zaidi kwa kujiuliza kuhusu vyuo vya MAREKANI.....

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 6:29 am  

Maana hata mimi wakati mwingine husema;

Ngoja NIINGIE kidogo hapa jamvini kwa UjingaBusara.

Mara hatimaye najikuta nimeacha hadi na comenti aisee...!!!

Hiyo kidogo kidogo hujaza.....

Simon Kitururu 7:07 am  

@Rasta Mcharia: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP